Washauri wa rais wetu. Tuwajue na wengine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Washauri wa rais wetu. Tuwajue na wengine

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zing, Mar 10, 2011.

 1. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  great thinkers wa Jf Salam

  Jana tumemjua mshauriwa rais wa mambo ya uchumi. sijui kama yuko mmoja au wapo wengi

  Napenda tuwajue na tutajiwe kwa majina taarifa washauri wa rais wa mambo mbali mbali kama

  • Nishati
  • Uwekezaji sijui ndo huyo huyo wa uchumi
  • Sayanasi na Teknolojia
  • Sheria
  • Michezo
  • etc
  Tukiondoa mawaziri na makatibu ambao nao ni kama washauri but hawa wamekaa kisiasazaidi nawanweza kuwa hawa pfofesional ya majukumu waliyonayo ni vizuri tuwajue hawa ma dvisor amabo proffesinally naamin na wajpo taaluma na experince ndogo ya majukumu yao dogo

  Binafsi nimekuwa nakerwa kuona jina la january makamba na Salva rweyemamu watu ambao majukumu yao sio critical kivile. kwa mtazamo wangu.

  Am suren no single president anaweza kuwa smart katika kila kitu but u smart wa president unawategemea ni vipi watu wake wanauwezo wa kufukia mashimo ya udhaifu wake.

  So who others behind the scene ???
   
Loading...