mkorosho haramu
Member
- Jan 10, 2014
- 48
- 8
Habari za majukumu wana jamvi.
Natamani kujua hawa watu wanaoitwa washauri wa Raisi ni namna gani wanapatikana?
Na je huwa wanastaafu? yaani kuna uwezekano Washauri aliowatumia Mheshimiwa Mwinyi, Mh. Mkapa, na Mh. Kikwete ndiyo hao anaowatumia Mh. Rais wetu Magufuri?
Na je inapotokea Raisi akashauriwa jambo na washauri wake/kupishana kauli naye akalikataa nani anaingilia kuwapatisha?
Ni hayo tu karibuni