Washauri wa rais, mfikishieni Rais ujumbe huu

Washauri wa rais, mfikishieni Rais ujumbe huu

Wambandwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2006
Posts
2,249
Reaction score
833
Wanajamvi watukuka,

Nina imani kuu kwamba wasaidizi wa rais wetu kipenzi wamo humu, Naomba wamfikishie ujumbe huu nilioupata mtandaoni na aufanyie kazi.

Wasalaam

Huyo alikuwa Lincolin kule U.S.A, hapa ni Tanzania tuache us wafanye yao nasi hapa tufanye yatupasayo. Magufuli hachukii matajiri ila anachukia wakwepa kodi na mafisadi; Magufuli hawadhoofishi wenye fedha na matajiri huchukia njia haramu za kupata fedha na utajiri; Magufuli anapenda uadilifu

Halafu mwalimu wa lincolin si wa magufuli!
 
Excellent ! Hawa UKAWA sijui wanatutaka nini waTanzania! Wanapenda kupotsha UKWELI!
 
Umeweka BANDIKO bila kulifanyia uchambuzi yakinifu na kutoa ushauri sahihi. Hawa wa Marekani si ndio wanataka kupitia misaada yao walete ushoga na usagaji??

Huko Marekani fomu ya kugombea uongozi ina ki sehemu kinauliza iwapo umewahi kukwepa kodi. Anachofanya Mhe Rais ni kuweka misingi ya watu wakiwemo matajiri kulipa kodi na wote tuichukie rushwa na ufisadi.

Kama unaunga mkono hii cancer iliyokuwepo kwenye hii nchi basi utakuwa ulikuwa na biashara haramu.

Queen Esther

Wanajamvi watukuka,

Nina imani kuu kwamba wasaidizi wa rais wetu kipenzi wamo humu, Naomba wamfikishie ujumbe huu nilioupata mtandaoni na aufanyie kazi.

Wasalaam

We mleta hoja kichwa chako kimejaa maji ya madafu. Kitakacho kuokoa toka kwenye utangulizi niliotoa kwa moyo safi ni labda iwe tu kuwa wewe huelewi bandiko lako; vinginevyo .. Akili zako zemeshambuliwa. JPM hauhitaji huo ujumbe hapo: haumuhusu kwa namna yeyote ile.

Nimalizie kwa kusema kwamba sentence ya mwisho kwenye badiko lako inahusu awamu ya 4 kwa kila hali. Na atokee raia mwema aupeleke ujumbe huu msoga.
 
Huyo alikuwa Lincolin kule U.S.A, hapa ni Tanzania tuache us wafanye yao nasi hapa tufanye yatupasayo. Magufuli hachukii matajiri ila anachukia wakwepa kodi na mafisadi; Magufuli hawadhoofishi wenye fedha na matajiri huchukia njia haramu za kupata fedha na utajiri; Magufuli anapenda uadilifu

Halafu mwalimu wa lincolin si wa magufuli!
Mafisadi and the like ndio wanamiliki njia kuu za uchumi Tanzania. Nina hamu ya kuona ufisadi WA Epa, Richmond, na sasa Escrow rais wetu atatumia approach gani kuyapatia solution. Itakuwa vita ngumu na isiyowezekana akiwa ndani ya mtumbwi huo huo unaosukwa sukwa na mawimbi. Naomba mumfikishie ujumbe huu tafadhali.
 
Khaaa! Serikali dhaifu haikusanyi kodi- Mwl J K Nyerere.
Yaani we mwenyewe piga mahesabu mtu anayestahili kulipa kodi ya bilion za shs anakwepa kutimiza wajibu wake. Hivi serikali kwa kufukuzana na mama Lishe itaweza kununua madawa na vitanda mahospitali ya umma.
Mwacheni Magu arejeshe nidhamu ktk nchi na amewaambia kwa hekima ya juu - wamuogope Mungu.
Khaa
 
Back
Top Bottom