Dont go away
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 501
- 208
Lowassa anaweza kwenda Mahakama kuu kuiomba mahakama baada ya kujiridhisha itamke kumsafisha Lowassa mbele ya macho ya watanzania baadhi walioaminishwa huu uongo kuwa Lowassa ni FISADI, lakini ukiwauliza alifisadi nini? hawana jibu la msingi na la maana.
Wanasema eti alifisadi mkataba wa Richmond!! jamani, nani asiyejua siri iliyojificha nyuma ya pazia?
Pia lowassa atalazimika kufafanua neno kwa neno mbele ya CC ya ccm pindi jina lake litakapopitishwa kuwa miongoni mwa majina ya wagombea urais wa CCM.
Hivyo, naomba sana Lowassa atafakari kwa kina ushauri huu, aende mahakamani ikibidi kwa hati ya dharura aiombe mahakama kuu itamke kuwa "Lowassa ni mtu safi na mwadilifu"
Hii itasaidia kukata midomo ya watu kuwa, hata kwa dodoki hasafishiki.