washabiki wa man u chekini faul hii

myie mashabiki wa manche-sita mko wapi?au nianze kuwataja kwa majina?
 
Huo mkono umeenda wapi??? Duh yani magoli na kufanyiwa vitendo vya kizalilishaji hivi ni hatari..poleni man u
 
Kumbe walipigwa hata magoli ya impossible angle!!!! Duuu, kwa kweli Man City ni vidume.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…