Waseminari wote tukutane hapa

Tutalisifu jina la Bwana milele .Maua Seminary jamani tupo pia.
Enzi za brother Muchunguzi,Fr Kinyaia siku hizi askofu, Fr Mbundo,Fr Placidius and Sister....

Hahaaaaa. Umenikumbusha mbali sana .....MAUA SEMINARY miaka ile John Mnyika anasoma pale. Alimaliza akatuacha sisi bado form one. Nakumbuka hawa jamaa walishangilia sana mtihani wa form four 1998 ulipofutwa. Nakumbuka vinyangarika na matunda ya marehemu fr. Ladislaus (fr. Mbundu). Vp we ilikuwa mwaka upi?
 
Nami nilipita seminary miaka flani it waz a good life.

Hollaa!,makoko seminary
 
sakramenti kubwa hiyo,twaheshimu kifudi

Sakramenti Kubwa Hiyo Lyrics

Sakramenti kubwa hiyo, twaheshimu kifudi-
Na sheria ya zamani, ikomeshwe na hiyo-
Yafichikayo machoni, imani huyaona * 2-

Mungu Baba Mungu mwana asifiwe kwa shangwe-
Kwa heshima atukuzwe, pia aabudiwe-
Mungu Roho Mtakatifu vile sifa apate * 2-
 
Hahaaaaa. Umenikumbusha mbali sana .....MAUA SEMINARY miaka ile John Mnyika anasoma pale. Alimaliza akatuacha sisi bado form one. Nakumbuka hawa jamaa walishangilia sana mtihani wa form four 1998 ulipofutwa. Nakumbuka vinyangarika na matunda ya marehemu fr. Ladislaus (fr. Mbundu). Vp we ilikuwa mwaka upi?

Wakati ile ukiumwa kidogo unakula Friary.

Hakuna kitu nilichokuwa nalaani kama kwenda Agriculture day - Ushirika siku ya mvua.
 
Waseminary waliochepukia a level walikuwa wazinzi sana. Ila kwenye kwaya na kubofya kinanda mlikuwa vizuri sana. Nakumbuka ile Dolemifasolasidooooooo!!!! Desilemofasiledo!!!!
 
Mwakumbuka "wazee wetu wa zamaniiiii, sadaka nao walitoaaa, walifukizia ubaniiii, sadaka walitolea!!!! Du! Nomaaaa!
 
Nyegezi Seminary:
Rector = Father Mugonya
Bursar = Father
Father Kagger
Father Van show (tulitamka hivyo not sure kama linaandikwa hivyo)
Father Bilingi - I still think he was a "radical", in a good way, priest

Great basketball team: Mafuru
Great football team : sassy sarungi, Godfrey ndaba, onesmo fortnatus, Charles Paul, sosoma, etc

Mabweni ya East na west.

Battle! Unavua shati kwanza otherwise you stink like sijui nini!

Orchard... Machungwa and machenza.

Anybody remember "nyangumi "

Mie nilipita hapo early 80s. Uji wa yanga for breakfast and ugali wa yanga for lunch and dinner!

Good memories, difficult times!
 
Tutalisifu jina la Bwana milele .Maua Seminary jamani tupo pia.
Enzi za brother Muchunguzi,Fr Kinyaia siku hizi askofu, Fr Mbundo,Fr Placidius and Sister....
MKUU kama vile nnakukumbuka.Mimi nilikuwa house ya Ujamaa.daa those days!!! Pionjar,brother kisiki...Fr Kinyaia(askofu now) morata(amefariki mwaka Jana)topolino
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom