Wasanii wetu na njaa mbaya

Alafu kutwa wanalalama maisha magumu.

hakika njaa ni mbaya sana especially ikipanda mpaka kichwani.
 
Ukienda CCM unaambiwa Njaa na Ufisadi huko
Ukienda CDM unaambiwa Vurugu tu, udini na Ukabila
ukienda CUF unaambiwa Muisilimu


.................. TU HESHIMU MAWAZO YA WATU NA UTASHI WAO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…