Mtizamo wako tu,belle9 na sumu ya penzi mbona ilibamba sana sema jamaa hajakaza ngoma ya pili ndio maana haku-takeover.
Belle wimbo wake wapili ni masogange,mbona ilikuwa kali tu.Na ametoa ngoma nyingi tu kali baada ya hapo but still raia wanazichukulia kawaida, mfano hizi alizoachia hivi karibun 'Listen' na 'Wanitaka' zote kali
pia marrow na ommy dimpoz
Management ni tatizo kwa hao wasanii wengine ..msanii ukiwa underpowerful management e.g diamond under ruge plus talle ni kitu kingine.
Na pia kuhatarisha soko la ndomo kunaweza kukamfanya msanii afanyiwe hujuma kistrategy ..
uyo marrow ni yupi...?
Cha msingi ni kukaza tu,Diamond ngoma yake aliyoitoa na Mabovu na Ngwair(rip) Jisachi kabla mfuko haujatoboka full msimbazi kama adili wa choka haikukamata mpaka alivyotoa Kamwambie ikabamba hajakaa sawa akatoa Mbagala ikabamba zaidi na jamaa akawa anatumia teqnik ya kutafuta kiki kwenye media ndio akazidi kuchana.
OSATA -Othman suka SAid Fela Na TAle Babu ndio wanaoua mziki wa Tanzania
wamwombe diamond awapeleke kwa mganga wake
uyo marrow ni yupi...?
Mwe Marlow had watu wana kusahau aisee, wakati una kitu kikubwa sana.
Intafact Huyu jamaa ndo aliemtoa Tudd Thomas ,producer anaetamba saiv kwa vibao vikali vinavyotoboa ktk anga la international market. Lakin yeye Marlow mwenyewe pamoja na kuwa ana uwezo mkubwa sana yupo yupo tu.
Asahaulike tu aliringa mno
Hahahaaaa,jamani mimi nilikua namuona mpole!!!!!