Wasanii walia malipo mapya Basata

Ada hiyo ni kodi haramu ya kificho bayana kwa.kampuni inayotaka kumtumia msanii kutangaza bidhaa zake.
2. Wasanii chipukizi watakufa kabisa
3. Huu ni ulanguzi kwa upande wa basata.
Kama Basata hawawezi kujiendesha kwa bajeti ya serikali, baraza lifutwe, kwani Basata inawasaidia kitu gani wasanii zaidi ya kuwavizia kuwafungia kazi zao?!
 
Ngoja wapeleke Pesa tununue Driemler nyingine..Hii ichi itajengwa na sisi wenyewe
 
Wote waliosaidia watanzania kupata tabu na dhiki hizi tunashukuru Mungu yanawarudia,wote waliochangia ushindi wamesomeshwa haswa hadi Raha,kuanzia RFA,nape,mwigulu,msukuma,zakaria,wasanii,mange,chahali, shigongo nk,Mungu kaamua kuwalipa kwa kuchangia kwao watu kupata tabu,watu wamebomolewa nyumba zao,wamefukuzwa Kazi kionevu,wamefilisiwa,kudhulumiwa uhai wao nk,malipo yote duniani, heri ya waliojutia uamuzi wao na kusimama pamoja na wanaoteswa.
 
[emoji817]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…