samakiurembo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 445
- 693
Na tunakusubiria siku uchangie ujinga kwenye jukwaa la siasa tukutie mbaloni! Picha yako tushaiweka kwenye saver zetu!Habar wakuu nimekua katika hali yakujiuliza na kujaribu kutafakar kwanin wasanii wa bongo flava au maigizo wakiniona sehem katika mazingira ya face to face hustuka na kusimamana kujaribu kubadilisha njia
Hali hii imenipa maswal sanaa lakin nimepata sababu huenda nikawa nafanana na sudy brown kijana anaewafuatilia maisha ya wasanii wakiwa mitaan maana wasanii niliowakuta mtaan na kutaka kukimbia walikua na mshtuko mkubwa kuonana na wao maeneo hayo au wakuu
View attachment 2219904
Dogo naona uchoko Ushakuingia kichwaniHabar wakuu nimekua katika hali yakujiuliza na kujaribu kutafakar kwanin wasanii wa bongo flava au maigizo wakiniona sehem katika mazingira ya face to face hustuka na kusimamana kujaribu kubadilisha njia
Hali hii imenipa maswal sanaa lakin nimepata sababu huenda nikawa nafanana na sudy brown kijana anaewafuatilia maisha ya wasanii wakiwa mitaan maana wasanii niliowakuta mtaan na kutaka kukimbia walikua na mshtuko mkubwa kuonana na wao maeneo hayo au wakuu
View attachment 2219904
Dah! Unamvunja moyo kabisa jamaaKwa hiyo unataka tukwambie nini yani?
Hahaaa acheni mawazo ya kipuuz na fikra za kukaririshwa kua jf ni mtandao wa watu siri na waovu waovu eti wafiche majina yao na picha zao member wangap wana majina yao na picha zao huku kama umeingia humu ukiwa na tabia zao mbaya mbaya za kifiraun hivyo hutak watu wakujue ni wewe mkuu mtu mwema anakua huru mtu muovu atajificha ficha member weng tu wakiongoza na pascal mayala wanatumia id halisi bila hofu waovu ndio wanajificha fichaYaani unabandika picha yako huku kama facebook kwa sifa za kijinga?
Moyo gan hahaaa jiamin weweeDah! Unamvunja moyo kabisa jamaa
Yaani unabandika picha yako huku kama facebook kwa sifa za kijinga?
Ahaaa kias flan kweli inawezekana ndio sababuMbona unafanana na mwijaku
Ooh sawaa just a stage kila mtu ataipitia kwa wakat wake so hata wewe uliipitiaTulia ni watoto wakikua wataacha
Kwa sababu ipi unasema hivyoDogo naona uchoko Ushakuingia kichwani
Mbaroni ip kwan ni marufuku kuweka picha yako halis humu au ni kosa ukiwa unataka usijulikane utakua una sababu zako ambazo sio nzur kuna member weng wana picha na majina yao halis humu wengNa tunakusubiria siku uchangie ujinga kwenye jukwaa la siasa tukutie mbaloni! Picha yako tushaiweka kwenye saver zetu!
Eboo!! [emoji34][emoji34]