Wasanii wa CCM na Nimes'tuka campaign.

Wasanii wa CCM na Nimes'tuka campaign.

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
60,412
Reaction score
88,728
Umofia Kwenu wana JF,

Leo kwenye social media zote wasanii wa ubongo fleva,bongo movie na wamiliki wa blog uchwara wamepost kwenye accounts zao "NIMES'TUKA" sijui nini kilichowastua hao wasanii wa ugambani.
 
Magamba akili ni ndogo sana yaani hata mtoto mdogo anawatia dole la macho
 
Wasanii walionunuliwa kisiasa hawatakua na ujasiri siku za usoni ..watakuwa watu wa aibu wasioweza kusimama mbele za watu
 
Wasanii ambao they can not stand on their feet, bongolala what they think ni magauni na surreal tu wajinga wa mwisho
 
Wasanii wengi wa Tanzania ni wale walioshindwa elimu na usanii ukawa ndio kimbilio...

Ona sasa wengi wakati huu wameusahau Utanzania wao na kuwakumbatia wanasiasa utadhani kampeni zitaendelea milele...
 
Kama wewe unapenda bongo movie. Ukikuta movie ina picha ya Jb.,wema.ant ezekiel.Steve nyerere usinunue. Au nunua moja toa copy 500 gawa bure
 
Hivi Tanzania tuna wasanii,!,! Vilaza hawa wa shule za kata hata kiswahili hawajui wanaishia 🙂natakaga, au nakuambiaga, mara nanilii shit!!!!
 
Sumaye na Lowassa wamejilimbikizia mali zisizo na kipimo na kwamba wamekosa Uzalendo na sifa ya utumishi uliotukuka..ni Wazembe na walafi-Warioba
 
Kama wewe unapenda bongo movie. Ukikuta movie ina picha ya Jb.,wema.ant ezekiel.Steve nyerere usinunue. Au nunua moja toa copy 500 gawa bure

Wewe ni mpumbavu kabisa. Kiwango chako cha upumbavu ni extreme
Hata zile za wagosi wa kaya na roma zitafanywa hivyo hivyo.
 
Hivi Tanzania tuna wasanii,!,! Vilaza hawa wa shule za kata hata kiswahili hawajui wanaishia 🙂natakaga, au nakuambiaga, mara nanilii shit!!!!

Wewe ni mpuuzi.
Unadhani kubeza elimu za watu kutakusaidia nini?
Tena wewe ni mpumbavu aliyekubuhu.
Kwa maana kwa kubeza elimu ya shule za kata umetukana kundi Kubwa la Ukawa.
 
Kachelewa huyu babu ndio maana walimpiga,hawaoni hao alionao wanaoendelea kujilimbikizia, nadhani anatakiwa kupimwa
 
Wasanii wengi wa Tanzania ni wale walioshindwa elimu na usanii ukawa ndio kimbilio...

Ona sasa wengi wakati huu wameusahau Utanzania wao na kuwakumbatia wanasiasa utadhani kampeni zitaendelea milele...

Hata mimi sipendi sana UKAWA wamenunua na wao bongo movie na bongo fleva.Juzi huku mikumi alikuja Prof J na Roma kufanya kampeni.Sitawapigia kura iwe ubunge iwe KTMA wala siendi show zao wala kununua album.MWAKYOMBO FOR MIKUMI MP.
 
Sumaye na Lowassa wamejilimbikizia mali zisizo na kipimo na kwamba wamekosa Uzalendo na sifa ya utumishi uliotukuka..ni Wazembe na walafi-Warioba

Soma maada inasemaje na wewe una comments nn, hizo zilipendwea tena sizio kuwa na ladha peleke Lumumba
 
...wanadhani watu waliwasifia kwa kuwa wana ccm .? eamejidanganya sanaaa....
 
Hivi ni msanii yupi nchi hii anaweza kubadili maamuzi yangu? Achilia mbali kura, hata matangazo ya bidhaa wanayofanya haijawahi kuwa sababu ya Mimi kutumia bidhaa hiyo...

Just ignore them...
 
Back
Top Bottom