jakarason1974
Senior Member
- Apr 3, 2012
- 103
- 50
Ndugu zangu nataka tu niwape findings za utafiti nilikuwa ninaufanya juu ya ushabiki wa Chama cha Mapinduzi na maendeleo mtu au kikundi..
Hapo nyuma niliandika makala mafupi juu ya ushabiki wa wasani kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Baadhi ya hawa wanaojiita wasani kwaka Juzi 2015 walizunguka nchi nzima wakiimba CCM number one na kuimba hapa kazi tu....huku wengine wakiwatukana wapinzani na Kuwait a chama cha Kaskazini na wachagga wakati wakijua sio chama cha wachagga na wala hakina ukanda wala ukabila wakisahau kwamba hizo ni lugha chafu wanasiasa wanatumia kuwadanganya watanzania.
Walisahau hata walishawahi kusema CUF ni Chama cha wa islamu.... Hawa watu sitawasahau siku ya kufunga campaign za CCM msanii mmoja wa kike ambaye ni mmojawapo anayetuhumiwa kuhusika na madawa ya kulevya.
Na Mwingine mwenye jina la Baba wa Taifa anayejiita Msanii walisimama kwenye Jukwaa mwanza walifanya campaign za kusema Ukawa ni chama cha wa Chagga na serikali kumejaa wachagga.. Hawa walipanda mbegu za ukabila kwa ajili ya kupata kipato kumbe hawakujua CCM walikuwa wanafanya kampeni za kisiasa na Tuhuma za ukanda na ukabila zipo katika kila uchaguzi na ni mojawapo za asset ya CCM na baada ya uchaguzi huwa Tuhuma hizo huondoka.
Ukiangalia hawa wasanii walioitwa kuhojiwa kuhusiana na madawa ya kulevya wengi wao ni wapenzi na wapigia debe wa CCM na ndio mwisho wao maana Tuhuma za madawa ya kulevya ni hatari sana na nchi za nje kama USA na Ulaya ujue hawatakaa watie tena timu kwisha habari yao.... Ndio falls down yao kwa kuishabikia ccm.
Kuna Mwingine anajiita Tanzanite sijui Dangote ..... Yule ndio aliwatukana sana wachagga kwenye ufumbuzi wa CCM pale Jangwani Naye ameitwa kureport kuhojiwa kuhusika kwako kwa madawa ya kulevya... Falls down yake ndio inaanzia hapo.
Kuna kundi moja linajiita the photocopy comedi hili kundi lilikuwa maarafu sana sana,,, wakajisahau wakiingia kwenye siasa kwa kununuliwa ili kuwatukana watu.
Na hawa walikuwa wana mkejeli sana Mgombea wa Upinzani kwamba yeye Ni mgojwa na huwezi kuwa raisi wa Tanzania sasa hili kundi liko wapi sasa.....kwisha habari yao....kuna mmoja yuko Radio moja kwa kweli kati ya watu wanaonichefua ni yeye... Na hii radio nimeichukia kwa sababu ya huyu jamaa wa The photocopy comedi.
Conclusion.
Cha kusangaza hawa hawa wasanii wanaitwa na kuhojiwa ndio utawakuta 2020 wakiwatukana Oposition na kwamba Wezi. Ila mungu ni mkubwa ikifika 2020 kwa kweli hutakaa uwasikie tena. Tuhuma za madawa ya kulevya na dhambi ya kuotesha ukabila na ukanda na zambi ya kuishabikia CCM wasipo omba msamaa kwa watanzania ndio mwisho wao.