exalioth
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 2,195
- 3,699
Ney Wamitego ameamua kulipa fadhila kwa kupiga shoo za chimbo hadi chimbo akijua yakwamba hata kijijini kunamashabiki zake ambao tunamsapoti
Ni katika Machimbo ya Nyangalata, na Nyandolwa Shinyanga amejaza shoo safi kabisa akakunja pesa zake na juzi tu alikuepo hapa kwenye Kisenta kidogo cha Lulembela kakunja hela zake kaenda Ushirombo kakunja hela
Kifupi jamaa nimependa staili zake anapambana sana
Yudah Exalioth
Jamiiforums
Geita