Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Wanahitajika wasambazaji wa ice cream
Malipo ni kutokana na mauzo yako
Utauziwa ice cream kwa sh.50 na kuuza kwa bei uipendayo(zinauzwa kuanzia sh.100-200).
Kiwango cha chini cha idadi ya ice cream ni 100.
Fursa pia ya kuongeza faida kwa wenye maduka/vijiwe sehemu ambazo ice cream zinauzika.
PM me kwa watakaokuwa interested