Acha kebehi unajuaje kuwa nawe post zako zinakera wengine after law unajuaje kuwa wewe ni wa zamani.
Kwa shambulio hilo tu unaonekana usivyokuwa na uvumilivu kwa wengine unataka uletewe yanayokubariki wewe tu. Assume angeandika kabila lako ungekuja na povu kiasi hiki.
Kuwa na heshima kwa wenzio mimi sijaona kosa lake. Na ni ukweli kuwa jiji la mbeya ni la wasafwa, nyakyusa tukuyu, nyiha mbozi, ndali Ileje, wabungu chunya, wasangu mbarali sasa wewe shida yako nini?.