Mbn mi huwa nazickia nyimbo zao jmnKiukweli mwanzoni nilikuwa nafikili ni maneno ya mtandaoni, Kuwa wasafi wametofautiana na clouds media, Kuwa ni ya kizushi lkn kadli siku zinavyo songa mbele binafsi nimeamini sasa, Baada ya kutosikia nyimbo yoyote kutoka kwenye Lebo ya Wasafi kutopewa airtime kwenye media hiyo na kwa hali hiyo imenifanya nisi isikilize radio yao ambayo imekuwa na ubaguzi, Kweli tofauti hizo tu zinatufanya sie wasikilizaji pia tuwajibishwe kwa tofauti zao kwa kutowasikia wasanii wa nchi hii nyimbo zao zikikosa kupigwa hewani.
Kwenye biashara kumpoteza mteja mmoja ni hasara kubwa sana. Idadi ya wasikilizaji ndio huleta matangazo mengi ikipungua imani ya wawekezaji hupungua pia. Hasara yaweza isewe leo wala kesho ila keshokutwaSasa unawapunguzia nini..?? Au sisi tunapungukiwa nn??
Kwali hii jamii forumMwanaume ambaye anapenda nyimbo zinazosikilizwa na wanawake kama za wasafi ni shoga tu
Aliyekurupuka sana nani? anayekosea spelling anayerusha matusi hata pasipostahili?Kweli sio kwali punguza kukurupuka