Wasafi Fm huu utaratibu ni endelevu au?

Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
5,304
14,913
Leo nilikuwa nasikiliza kipind Cha michezo Cha asubuh kutoka wasafi fm

Nimeshangaa utaratibu Kama umebadilka hivi mwendesha kipind anawapigia simu wachambuzi wanaelezea kifup Sana baada ya hapo mziki matangazo ikipita robo saa mwendesha kipind anaongea kifup Sana matangazo mziki kwenda mbele

Sasa sijajua huu ndio utaratibu wao mpya au Kama n mpya bas jamaa wamefeli pakubwa Bora turudi kwa shemeji majizo walau kidogo japo nao wananikera matangazo tu mengi Zaid kushinda muda wa kipindi

Wakuu GENTAMYCINE NAWATAFUNA Scars na wengineo hebu nitoen tongotongo je huu ndio utaratibu endelevu pale usafini
 
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
I'm not part and parcel of Wasafi Media so I can't comment anything of your Concern. Thank You though....!!
 
Leo nilikuwa nasikiliza kipind Cha michezo Cha asubuh kutoka wasafi fm

Nimeshangaa utaratibu Kama umebadilka hivi mwendesha kipind anawapigia simu wachambuzi wanaelezea kifup Sana baada ya hapo mziki matangazo ikipita robo saa mwendesha kipind anaongea kifup Sana matangazo mziki kwenda mbele

Sasa sijajua huu ndio utaratibu wao mpya au Kama n mpya bas jamaa wamefeli pakubwa Bora turudi kwa shemeji majizo walau kidogo japo nao wananikera matangazo tu mengi Zaid kushinda muda wa kipindi

Wakuu GENTAMYCINE NAWATAFUNA Scars na wengineo hebu nitoen tongotongo je huu ndio utaratibu endelevu pale usafini

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Halafu kuna fununu kuwa kuna mtangazaji wao mmoja amekwenda Efm!!toka hapo naona kama kwa sasa hakina mvuto, naona kama Efm, na aboud fm, wako vizuri.
 
Back
Top Bottom