Wasafi festival

one by one

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
5,835
Reaction score
9,330
Jamani sisi wa Tz tukubali tu live show hatuwezi ni bado sana tena sana. Huko Iringa nasikia tu mikono juu, piga kelele sijui tuendelee au tusiendelee. Wewe msanii tumekuja kukuona uki perfom live halafu unataka sisi ndio tufanye show. Na hii sio Wasafi tu hata Fiesta. Mtu ngoma moja tu tena playback anahema utasema yuko marathon. Sasa show ya 2 hours ataweza. Live tuwaachie wa Congo tu sisi tubaki studio.
 
Acha hizo mtanzagiza angalia mauwaji ya rayvanny sasa hivi.
 
Hao ni wafanyabiashara si watu wa live performance
 
Tulia dawa ikuingie wewe
Hakuna wa kupiga live 2 hours perfomance namaanisha live music sio playback. Hizo playback hata mtu sauti hana Dudu baya naye kaimba sauti tu hana. I mean live music sio playback
 
Hivi kuna mtu alimuona Shaggy mwaka aliokuja pale Diamond? That was live music. Mtu anapiga nonstop 2 hours. Hii ya vipande vipande tuacheni utani na muziki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…