nyaubanguchiro
New Member
- Nov 25, 2019
- 1
- 12
Huwa inashangaza sana mtu kukashifu kabila Zima, dini yote, majina ya aina flani yote sababu tu una mifano ya watu wachache waliokupitia au unaowafahamu kwenye maisha yako.Vizuri kwa kufichua maovu, hasa hasa ya kanisa zima la Wasabato, kanisa hilo ni la kukimbiwa, hiyo kwaya naifananisha na Golden Gate ya Uganda, waimbaji wake walikuwa wanatombana sana hadi wote wakafa kwa Ukimwi wa enzi hizo.
Mkuu mbona sioni hili jina la kwaya u tube??
Nilitaka nione uzuri wa hii kwaya kwanza manake ni muumini mzuri wa nyimbo za kisabato.
Hapo sawa, asante mamaHajui hata kuandika kazi umbea tu..wanaitwa Light bearers!wanaimba vzr sana sana
Hapo sawa, asante mama
Nilitaka nishangae kwa nini hilo jina sio familiar
Anyway "Sifa kwa Bwana na "pokea sifa"ni vibao vinavyonibariki.
LightbearersMkuu mbona sioni hili jina la kwaya u tube??
Nilitaka nione uzuri wa hii kwaya kwanza manake ni muumini mzuri wa nyimbo za kisabato.
Mkuu hautaki watu wamwimbie Mungu?? Una ushahidi Wa hayo Malalamiko yako?
Hajui hata kuandika kazi umbea tu..wanaitwa Light bearers!wanaimba vzr sana sana
Mleta uzi umejawa na chuki za waziwazi ,na ndio kitu kinachokusumbua