Tatizo watu wanamuattack sanaa...yani mpaka anashindwa kutofautisha kati ya swali la kawaida na uchokozi....!
Shosti we huna maubuyu walau tukute tunasindikizia jukwaa? Dah leo kumepoa kweli!
siku leo ya hovyo bila huyu mtu!
Leo angekua busy vibaya saana binamu
Warumi namkubali sana ila tatizo lake hana uvumilivu hata kidogo!! Unaweza ukamhoji kitu kwenye sredi yake kwa nia njema tu ye sijui anaelewa tofauti daah! Jibu atakalokuja kutoa huko ni hatari tupu na akikutana na wale wasio na subira kama yeye ndo anakwenda kifungoni!
Kifupi Warumi ana watu wake!! We kama siyo mtu wake ukajipendekeza kwenye uzi wake umekwisha
Jaman, so lovely, thanks for caring
Binamu mbona Instagram sikuoni tena au kule umechemka
Nipo binamu
Nilikufolo binamu au hutumii tena Warumi umebadili