Unapoleta habari kama hii jaribu kujibu maswali ya why? And how?
Na ujitahidi kuwa detailed kidogo, kwa mfano kuongelea hali ya sasa ya kampuni ya Apple sokoni, je wana project mpya iliyoko maabara au iliyoingia sokoni iliyomvutia Buffet? Utoe angalau mwenendo wa bei za hisa za Apple kwa kipindi angalau cha mwaka, uongele angalau faida Apple anayotengeneza na asilimia ya gawio, ufanye angalau mlinganisho wa Apple na makampuni mengine kiushindani. Yani kidogo habari iwe na mnofu. Sasa hii iko mifupa mno kiasi mtu unashindwa kupata hapo kitu wala kujua uchangie nini!