warning virusi hatari vya java. Kua makini ant virusi haitakusaidia

Chief lugha ulotumia hapo watafaidi wachache tuu!! 'Minimum javascript usage'

Javascript iliyopo kwenye nokia ni lite haipo advanced sio ya kisasa haina technology kubwa

Version zinazohusika hapa ni 5 6 na 7 za java ya oracle inamaana hizi ni latest zinazotumia technology kubwa na ndio hio hole ipo kwenye version hizo ambazo utazipata kwenye pc na mac na si kwenye nokia wala android wala iphone wala nokia tochi
 
Asante mkuu kwa maelezo ila ka details nitakwenda kugoogle up ili nijue kwa undani kuhusu hii mambo. Ila wewe Chief Mkwawa siyo siri ni mkali wa haya mavitu. Keep it up
 
juzi usiku wakati nabrowse nkashangaa ghafla java runtime inarespond then hapo hapo ika crash halafu program za startup zikajifunga zote including antvirus na kila nikiiopen antvirus inakataa nkadownload ant virus nyengine nkatoa ya mwanzo (thanx to revo maana hata remove program ya contorl panel ilikua haifany kazi). Hata hio ant virus nyengine pia ikafeli

Computer ikaendelea kua slow mpaka ikaacha kufanya kazi ikabidi niingie kwa safe mode na kurestore week ago then nkainusuru pc yangu.

Warning ndugu zangu hackers wamegundua upenyo kwenye java na kuweza kuingiza virusi na malware kwa both pc za window na mac hakuna alonusurika. So uwe makini na ikiwezekana disable java kabisa.

Chief vipi kama mtu akii-unstall kabisa java then badae mambo yakiwa safi anairudisha??
 
pamoja na kuwa java ina security vulnerabilities inategemea pia na browsing habits zako, uwe makini a websites unazotembelea, zingine zinakuwa "zimepakwa" sumu.
 
Back
Top Bottom