Nimezisoma hizo taarifa ila sijaona kabisa hicho unachokiita "kupotosha ukweli". Taarifa inataja idadi ya vifo, haijasema kuwa ni raia wa Poland.Saa sita na dakika kumi leo tarehe 13 jumapili 2022 walipost hii habari (picha ya kwanza), lakini immediately wakaifuta na kupost hii (picha ya pili).
Lengo likiwa ni kupotosha ukweli dhidi ya shambulio la urusi katika kambi ya kijeshi ya Ukraine iliyo kilometa 20 kutoka mpaka wa Poland, ambapo katika taarifa ya pili Reuters wanadai kulikuwa raia wa poland katika kambi hiyo, Jambo ambalo sio kweli.
Idaiwa watu wapato 35 wanaropotiwa kufa na wengime zaidi ya 100 kujeruhiwa.
Ikumbukwe kuwa Poland ni nchi mwanachama wa NATO. Hivyo upotoshaji huu wa Reuters unaweza pelekea vita kati ya Urusi na nchi za NATO.
Nitoe rai kwa waandishi wetu wa habari ambao wengi wao ni "makanjanja" kuwa makini katika kutafuta habari maana wanaweza jikuta wakipotosha wananchi.
"NATO member"Nimezisoma hizo taarifa ila sijaona kabisa hicho unachokiita "kupotosha ukweli". Taarifa inataja idadi ya vifo, haijasema kuwa ni raia wa Poland.
Sidhani kama umezielewa hizo taarifa zote mbili!
Kwamba ww ndio unajua Kusoma Kuliko wengineNimezisoma hizo taarifa ila sijaona kabisa hicho unachokiita "kupotosha ukweli". Taarifa inataja idadi ya vifo, haijasema kuwa ni raia wa Poland.
Sidhani kama umezielewa hizo taarifa zote mbili!
NATO member inayosemwa hapo ndio hiyo Poland ambayo inapakana na Ukraine upande wa magharibi. Mleta uzi anasema kuwa Reuters wamedai kwamba raia wa Poland wameuawa."NATO member"
Kwa uwezo wako wewe wa kusoma, unaona madai ya mleta uzi ni sahihi kulingana na picha alizozileta hapa?Kwamba ww ndio unajua Kusoma Kuliko wengine
Hoja ya mleta uzi kwamba kuna taarifa moja kati ya hizo inadai kuwa kuna raia wa Poland wameuawa, si hoja sahihi. Taarifa zote mbili katika hizo screenshots [ikiwemo hiyo iliyofutwa] hazijasema kwamba kuna raia wa Poland wameuawa.Hiyo ya kwanza imefutwa... Angalia apo chini kwenye hyo screen shot....
Mimi nimekuelewa ila naona mleta bado.Hoja ya mleta uzi kwamba kuna taarifa moja kati ya hizo inadai kuwa kuna raia wa Poland wameuawa, si hoja sahihi. Taarifa zote mbili katika hizo screenshots [ikiwemo hiyo iliyofutwa] hazijasema kwamba kuna raia wa Poland wameuawa.
We are witnessing thr rise of Techno Facism.Siku hizi hakuna Media ambayo ipo neutral na inaongelea ukweli..., nakumbuka Al Jeezara ilijipatia sifa kipindi cha Osama kwa kuangalia na upande wa pili pia..., Sasa hivi sijaona Media inayojipambanua zote zimekuwa Propaganda Machine...
Sisi kama walaji wanatupa shida sana, nadhani like everything else ethics za uandishi zilishajifia zamani...
Watu washaamua timu zao ukihangaika kuwaelezea watakuita mpinzaniNATO member inayosemwa hapo ndio hiyo Poland ambayo inapakana na Ukraine upande wa magharibi. Mleta uzi anasema kuwa Reuters wamedai kwamba raia wa Poland wameuawa.
Ameleta screenshots zenye taarifa ila hizo picha mbili hazioneshi chochote kuhusu madai hayo ya raia wa Poland kuuawa. Ndio maana nadhani hajazielewa hizo taarifa!
Kwamba wewe upo eneo la tukio na hakuna raia wa Poland waliokuwepo? Tusiwe na tabia ya kupangia ofisi za watu kusema yale tunayotaka kuyasikia.Saa sita na dakika kumi leo tarehe 13 jumapili 2022 walipost hii habari (picha ya kwanza), lakini immediately wakaifuta na kupost hii (picha ya pili).