Warning: Picha za kutisha sana - mashambulizi ya South Afrika kwa foreigners sio jambo dogo

Synthesizer

Platinum Member
Feb 15, 2010
12,273
21,455
Mashambulizi dhidi ya foreigners huko South Afrika yameanza tena.

Serikali ya South Afrika imekuwa ikijaribu kulifanya suala la mashamulizi ya Wa-South Afrika dhidi ya wahamiaji wa kigeni kama jambo dogo, lakini ni jambo kubwa lenye ukatili wa kutisha. Kinachosikitisha zaidi ni kwamba serikali ya South Afrika huwa haichukui hatua dhidi ya washambuliaji, hata pale wanapokamatwa. Sidhani kama kuna M-South yeyote yuko jela kwa ajili ya haya mashambulizi. Na pia wanasiasa wengi na hata machifu na watoto wa viongozi wamekuwa wakichochea haya mauaji na hawachukuliwi hatua. South Afrika siku zote inasema ni matukio madogo ya vibaka jambo ambalo si kweli.

Hadi sasa ni Nigeria peke yake ambayo inakuja juu hadi kudai majeshi ya AU yaende South Afrika kulinda watu. Hapa Tanzania viongozi wetu huwa hawana habari wakiwa na mtazamo kwamba Watanzania waliozamia huko ni shauri yao.

Hii hapa chini ni picha ya JUmamosi mwezi huu, 18/02/2017
upload_2017-2-23_9-39-57.png

Uzito wa mashambulizi haya yaliyoanza tena utauona katika hizi picha nyingine hapa chini.
upload_2017-2-22_21-58-53.png

View attachment 473428
upload_2017-2-22_21-47-21.png

upload_2017-2-22_21-47-51.png

upload_2017-2-22_21-48-35.png

View attachment 473432View attachment 473433View attachment 473434View attachment 473435
View attachment 473436
upload_2017-2-22_21-51-54.png
upload_2017-2-22_21-52-21.png

upload_2017-2-22_21-59-45.png

View attachment 473443
upload_2017-2-22_22-1-16.png
upload_2017-2-22_22-1-59.png
upload_2017-2-22_22-2-44.png
upload_2017-2-22_22-4-23.png

upload_2017-2-28_14-36-2.png

2015: Picha iliyoumiza wengi
View attachment 475438
upload_2017-2-28_14-21-24.png

Maagizo kama haya kwa shule toka serikalini ni ushahidi kuwa mashambulizi yanachangiwa pia na serikali
upload_2017-2-22_22-4-55.png

Chifu wa Wazulu Goodwill Zwelithini anaetuhumiwa sana kuchochea mashambulizi dhidi ya foreigners

Update: From a South African's mouth

Simon Allison; Daily Maverick, 27/02/2017

South Africa's reputation on the continent has taken a battering in recent years. It's not so great being a South African in Africa any more. South Africa is not a welcoming place for other Africans, and it is only getting worse. South Africa is now defined by its hatred of other Africans.

These days, when I introduce myself as a South African, no one mentions Mandela any more. Instead, all too often, I get asked, "Why do South Africans hate us?", and am regaled with garish tales of violence and xenophobia that have travelled like wildfire back along the migrant routes and now colour the reputation of an entire country.The tales are all the same. An Ethiopian man was killed by an angry mob in KwaZulu-Natal. A Somali businessman was murdered in his store in Khayelitsha. A Nigerian-owned building was looted in Pretoria.

It doesn't help when our leaders publicly appear to condone, or even encourage, the anti-foreigner sentiment. When Herman Mashaba, the new Democratic Alliance mayor of Johannesburg, casually equates illegal immigrants with criminality, he legitimises their mistreatment. When President Jacob Zuma stands up and appears to endorse last week's explicitly anti-immigrant march as being simply "anti-crime", he is effectively telling immigrants not to expect any protection from the government. In towns and villages all over Africa, these messages are being heard loud and clear – and are shaping South Africa's new reputation as an ugly, spiteful and closed-minded superpower.

Inevitably, the repercussions of this will be felt in how South Africans are treated elsewhere in Africa.
 
Serikali ya South Afrika imekuwa ikijaribu kulifanya suala la mashamulizi ya Wa-South Afrika dhidi ya wahamiaji wa kigeni kama jambo dogo, lakini ni jambo kubwa lenye ukatili wa kutisha. Kinachosikitisha zaidi ni kwamba serikali ya South Afrika huwa haichukui hatua dhidi ya washambuliaji, hata pale wanapokamatwa. Sidhani kama kuna M-South yeyote yuko jela kwa ajili ya haya mashamulizi. Na pia wanasiasa wengi na hata machifu na watoto wa viongozi wamekuwa wakichochea haya mauaji na hawachukuliwi hatua. South Afrika siku zote inasema ni matukio madogo ya vibaka jambo ambalo si kweli.

Hadi sasa ni Nigeria peke yake ambayo inakuja juu hadi kudai majeshi ya AU yaende South Afrika kulinda watu. Hapa Tanzania viongozi wetu huwa hawana habari wakiwa na mtazamo kwamba Watanzania waliozamia huko ni shauri yao.

Uzito wa jambo hili utauona katika hizi picha.

View attachment 473428
View attachment 473429
View attachment 473430
View attachment 473431
View attachment 473432View attachment 473433View attachment 473434View attachment 473435
View attachment 473436View attachment 473437View attachment 473438
We Picha nyingine sio za Mwaka huu, sijui unadhamiria nini!
 
Farao asiyemjua Yusufu. Mzee Mandela keshajiendea zake na rafikiye Julius. Zuma mtoto wa mjini anachotaka ni maisha mazuri na vimada wake. Acha viumane tu mkuu.
Kwani tunategemea nini ikiwa mmesha warudisha kuja kujichumia hata huku nyumbani Tanzanite?
 
Inasikitisha sana kwani huu ni unyama uliyopitiliza kumfanyia binadamu mwenzako.Mwenyezi Mungu wapiganie hawa wahamiaji na madhila wanayoyapata.
 
We Picha nyingine sio za Mwaka huu, sijui unadhamiria nini!
Ndio nimechanganya. Lengo ni kuonyesha uzito wa jambo hili ambalo kwa mara nyinggine limejitokeza tena, ili viongozi wetu na Afrika kwa ujumla walichukulie kwa uzito, kama reaction ya Nigeria kwa mashambulizi yanayoendelea sasa.
 
inasikitisha sana, tena sana! Serikali ya Tanzania iko busy na mateja na wauza ngada na imesahau raia wake walioko nje ya nchi huusani South Africa. Lini viongozi wetu watatoa sauti na kuwalinda raia wake nje ya mipaka yake? ni lini viongozi wetu watakuwa na utu na kulaani mashambulizi ya wenzetu huko RSA? Aahh...hawa wajinga walioko madarakani wanakera sana...
 
Picha Zikiwa Za 2016 Na Kweli Tukio Lilitokea Na 2017 Linatokea Tena Mnashindwaje Kuona Kuwa Hakika Ni Hatari Watu Wanauwawa Kama Vile Kuku

Watu Wanachomwa Kama Siku Ya Hukumu Ya Mwisho,Serikali Ya Viwanda Inasema Ni Wahamiaji Haramu
Imeshindwa Kuwapa Msaada Warudi Home
 
inasikitisha sana, tena sana! Serikali ya Tanzania iko busy na mateja na wauza ngada na imesahau raia wake walioko nje ya nchi huusani South Africa. Lini viongozi wetu watatoa sauti na kuwalinda raia wake nje ya mipaka yake? ni lini viongozi wetu watakuwa na utu na kulaani mashambulizi ya wenzetu huko RSA? Aahh...hawa wajinga walioko madarakani wanakera sana...

Wajinga ni wale wanaokwenda Afrika ya kusini wakiacha nchi ina kila kitu wanakimbilia kule kwenda kuuza bangi wache wafe na ujinga wao mtu mwenye akili timamu hawezi wekeza afrika ya kusini nchi iliyolaaniwa kwa umwagaji damu na wewe unajipeleka kule na mbaya zaidi washenzi wale tumemwaga damu yetu kuwasaidia wapate uhuru lakini shukrani yao ndiyo hiyo ujinga huwa wakati wa kwenda wakati wa kurudi ni akili yako Afrika ya kusini imenyenyesa sana watanzania lakini bdo mnapangana foleni kwenda huko hivi mna akili au mna matope wengi walipata fedha kule wameziacha kulekule na ni wachache sana wanaishi kwa amani na mafanikio yao kamwe SITAIACHA NCHI YANGU TANZANIA YENYE MEMA YOTE YA DUNIA NA KWENDA KWENYE NCHI ZENYE LAANA YA DAMU KAMA MSUMBIJI NA AFRIKA YA KUSINI MAELFU YA WATANZANIA WAMEFIA MSUMBIJI KWA KUUAWA NA MRENO WENGINE KWA SUMU ZA KWENYE MAJI MASKINI NDUGU ZETU LEO HII MSUMBIJI INAWATIMUA WATANZANIA BILA HURUMA WALA USTAARABU JAMANI WATANZANIA WENZANGU RUDINI KWETU HATA KAMA TUTALALA NA NJAA LAKINI TUPO SALAMA NA FAMILIA ZETU ACHENI KWENDA KWENYE VIZAZI VYA LAANA.
 
Mwenyezi mungu akusamehe bure kwani hujui usemalo
 
Dah!hawa jamaa hawana hata chembe ya utu .roho zao ni za kinyamA kabisA
 
Back
Top Bottom