WARNING: Mnaoenda Uganda msipande Spider wala Tawfiq

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,586
KAMA KUNA SIKU NIMEJUTA KUPANDAHAYA MAGARI NI JUZI

MMILIKI WAKE KAMA HUPO NAHISI UNAITAJI KUONDOAA HUU UPUUZI..HAWA JAMAA WANA SIKUYA SABA AWAENDI UGANDA

WANACHOFANYA WANAKUCONNECT KAMA PERCEL..NIMESIKITIKA SANA SIKUJUA HILI MAPEMA..NA LABDA NIKUSAIDIE WANAKUPANDISHA BASI WAKIKUPA MATUMAINI WANAFIKA SAMBILI NAIROBI..HAPO KUNA BASI LAO LINGINE LINAWASUBIRI AWAWEZI ONDOKA

NDUGU ZANGUNI KWANZA NIKWAMBIE MMILIKI WA HAYA MABASI MNAAJIITA CLASSIC HAYA MABASI NJIANI N KAMA MATATU..YANASIMAMA KILANSEHEMU KAMA ALIENDI NAIROBI

SALIM NAHISI NIKIJA DAR NTAWEKA WAZI HUU N UPUUZI KABISA .MNATUCHELEWESHA MWISHO TUNAINGIA NAIROBI SA NNE NANUSU

KUFIKA PALE WANAKUPELEKA KWA TAHWEED HAPO UNAKUTANA NA BASI LA KWENDA BUSIA NA SI KAMPALA..NA HILO BASI LINATOKA MOMBASA LINAINGIA SAA SABABUSIKU MNANZA SAFARI SA NANE KASORO...

UKIFIKA MPAKAN BUSIA WANACHOFANYA WANAKUSHIFT KAMA PERCEL NDUGUZANGUNI UNAPIGA MGUU KAMA DK 15;UNAENDA PANDISHWA MATATYLU HIACE YA KAMPALA....

KIUKWELI HAWAJAMA NIZAIDI YA WANYAMA BORA WAAWAMBIE KWELI ABIRIA WANGALIE MNS NYINGINE....

MR SALIM N COMP KIUKWELU SIJAAMINI NIZILE KAMPUNI ZAKO ZINAWATESA WATUHIVI MBAYA TULIKUWA NA WENGINE WANA WATOTO WADOGO MNAWASHUSHA SANNE NANUSU WAKAE MPAKA SABA USIKU KWELII AMUWATENDEI HAKI

WAZO
KAMA UNASAFIRI KWENDA UGANDA PANDA MODERN AMA NENDA ARUSHA PANDA PENTHANON TO KAMPALA.KULIKO KUUNGANISHWA NA WAHUNI HAWA

MODERN WANAKUWEKA WAZI NA GARIZAO UKISHUKA UNAKUWA CONNECTED FASTA NANSIO KUWEKWA MASAA KADHAA KUSUBIRI GARIZAKIZALIMU
SALIMU

MUDA WAKUBADILIKA NA GARIZENU HATAKAMA AMWENDI SABABU YA UCHAGUZI MNAPOANDIKIA WATU TKT TO KAMPALA ALAFU MNADANGANYA NA MUDA WA KUCONNECT SIO SAWA KAMWE
 
NOTED! YABIDI SEKTA YA USAFIRI WATUPIE MACHO ADHA ZA AINA HII MAANA NI MATESO NA UNYANYASAJI KWA WANANCHI WASIO NA HATIA.
 
pitia bukoba

panda gari za bukoba kesho yake saa 8 hupo kamapala.

hatupandi magari yao.

rungu la magufuri limewafirisi
 
Hakuna basi ya tawheed sasa,zilikuwa zamani miaka mitatu nyuma tena route yao ni ya dar-msa
Ila kuna tahmeed coach ambayo imesambaa east afrika na kati.nakuja kukuchana vizuri muongo mkubwa wewe
Tena TCRA na TRA na KRA ikushughulikie kwa kuharibu biashara za watu wanaolipa kodi
 
Hahahahaha, falcon mombasa gari zenu ni kwikwi sana. Tatizo mnapakia mizigo kiasi kwamba abiria akipanda hamumjali. Lugha chafu ukichelewa wanakuacha yaani taabu tupu
 
Hakuna basi ya tawheed sasa,zilikuwa zamani miaka mitatu nyuma tena route yao ni ya dar-msa
Ila kuna tahmeed coach ambayo imesambaa east afrika na kati.nakuja kukuchana vizuri muongo mkubwa wewe
Tena TCRA na TRA na KRA ikushughulikie kwa kuharibu biashara za watu wanaolipa kodi
Falcon,
Hakuna haja ya kua na lugha kali.
Weka hint zako automatic wasomaji watajua nani muongo.
Tunakusubiri maelezo yako against mtoa mada.
 
Hakuna basi ya tawheed sasa,zilikuwa zamani miaka mitatu nyuma tena route yao ni ya dar-msa
Ila kuna tahmeed coach ambayo imesambaa east afrika na kati.nakuja kukuchana vizuri muongo mkubwa wewe
Tena TCRA na TRA na KRA ikushughulikie kwa kuharibu biashara za watu wanaolipa kodi
Hiyo RED imeingiaje hapo mkuu
 
Kwa sasa Bus za Kampuni ya Modern wako vizuri kwa hizi Safari za Kampala au Nairobi.
 
Mkuu samahani kidogo,wewe ni Mtanzania ama Mkenya? Kama uko Dar panda basi jipya la Friends. Kabla ya siku mbili Xmass nilikuta basi jipya linaanza safari za Kmpl Dar. Hawa jamaa wanajali sana muda,mwendo mzuri na wako makini barabarani. Pia wana sehemu nzuri ya kuhifadhi mizigo yako na huduma zako zote za msingi mfano chakula (wana restaurant nzuri),ukifulia na ukakosa sehemu ya kulala unajiangusha kwenye misofa yao iko kibao tu hapo ofisini maana hamna namna na pia huduma ya kifedha (M pesa). Nawamiss sana Friends kwa huduma zao kwa vile siko maeneo Hayo kwa sasa ningekupa full details. Kama uko Mwanza pia wana route za kila siku pamoja na Bukoba. (Nawaongelea hawa kwa sababu ni wakongwe sana wa route hizo za Kampala. Pia wanabeba mzigo Mkubwa balaa. Pole sana mkubwa
394662342a550df0f0b322549a1eabbe.jpg
a80c6e8ac5caae64fef142e27fbcf81f.jpg
cbfb9b41fc43b02624cc1b428943c761.jpg
 
I see kuna siku nilienda Kampala kupitia Bukoba kwa basi la Falcon,ilikuwa ni matatizo njiani.Basi lile ni la route ndefu but dereva ni mmoja tu,huwezi amini kwenda nilienda na falcon moja hivi anaendesha mchaga.Alifika kama Bahi hivi akawa amechoka akampa kondakta tulitembea mwendo wa kinyonga ukizingatia magari yao ni mabovu kila mahali tulikuwa tunasimama kwa matengenezo,na tulifika pale Singida getini saa nane usiku.Tulianza tena safari na yuleyule konda hadi umbali kidogo tu ndo akachukua mchaga hadi Kampala.

Wakati wa kurudi,nilikuwa na falcon ila ni nyingine nikadhani halina matatizo,I see nalo ni spana mkononi japo lilikuwa na uafadhali..dereva naye alikuwa mmoja alitutoa Kampala hadi Gairo japo tulilala Shelui..then kuanzia pale gairo akachukua konda tena amini tulitumia saa 5:30 kufika Moro mjini abiria tulianza kulalamika sana dereva akawa wazi kuwa dereva mwajiriwa ni mmoja tu so alihitaji kupumzika asije sababisha ajali.

Magari yao ndani ni machakavu sana tena sana...ile safari ilikuwa ngumu sana kwangu
 
Sijui nikujibu kuanzia wapi
Lakin hakuna bus inaitwa tawheed
Hakuna bus ya kampala ikashia busia
Busi uliyopanda ni ya route ya mombasa to busia,pia hiyo bus spider unayolalamika spider ni ya kijani na hata mbele imeandikwa dar nairobi,
Hivyo inaonekana wewe ni mgeni kidogo,bus ya dar kpla ni taqwa ,falcon, hizo zinaanzia kariakoo.pia dar express ,saibaba,modern coast ,tahmeed hizi ni za dar nai,ila kama unataka kunyoosha hadi kpla panda tahmeed na modern watakukatia ticket ya dar kpla lakin ukifila nai watakufaulisha tena.pia kuhusu hicho kipande
 
Back
Top Bottom