joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Kenya Receives Relief Food Donated by U.S.Labda utwambie food donation ni gapi. Kenya does not ask for donations. Na BTW the last two years were drought filled. But necessity is the mother of invention. Now we are motivated to look for solutions to the problem.
Tangu Kenya ipate uhuru imeendelea kupokea msaada wa chakula, tatizo sio ukame bali ni kwamba ardhi kubwa yenye rutuba ipo mikononi mwa mapepari ambao wanalima maua au mazao ya biashara, hawashughuliki na uzalishaji wa chakula. Kenya ubepari unajali zaidi faida bila kutilia umuhimu mahitaji ya msingi, hilo Golana irrigation project, kamwe halitozalisha chakula cha kutosha kwasababu wafanya biashara wanaoingiza chakula watakosa biashara.