Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 1,008
- 1,115
Most likely from hell
Mimi napita Tu tena inabidi nikimbie baada ya kusikia pombeHata pombe si nzuri sana kwa afya ya akili hasa inapotumika kama jina[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
it is because stupid people have been given chance to show their barbaric way of livingSharia law is outdated. Those who practice it are centuries behind the rest of the world basi tu pesa na utajiri wa mafuta wa nchi nyingi za kiarabu unafaya watu wa-overlook haya yanayotendeka. Muslims when confronted always say Islam is a religion of peace to which I agree , in theory it should be bt kweli mtu kuiba tu ndo ukatwe kidole wakati magaidi wengi wanoua innocent people caught in the crossfire kila kukicha are considered heroes by most?? Kweli Hata sijui tufanyaje tuu tuishi kwa amani as people..!
Hahaa kaka umeuaa[emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata pombe si nzuri sana kwa afya ya akili hasa inapotumika kama jina[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mtu anahukumiwa kwa sheria na sio ukamilifu wa hakimuWao ni wasafi kiasi gani? Wao ni wakamilifu kiasi gani? Pamoja na hilo lakni huko kuna something very wrong
Hakuna anayelazimishwa Imani, hizo ni sheria ukikiuka unakumbana na Adhabu, Kama ilivyo ukijulikana kumpa mimba mwanafunzi Unakula 30yrs!
!
Yaani hao jamaa ni wa Ovyo mno. Stupid kabisa. Huwezi lazimisha watu wote wafate imani yako aisee.
Sawa KUBWAMtu anahukumiwa kwa sheria na sio ukamilifu wa hakimu
Acha wenge dogo
Wote wanavofanyaa hivyo ni team ileile ya unyanyasaji...Sasa kumchoma moto mtu kwa mpira,kumchoma spana za macho,kumkata mapanga hadi kufa,Kumkan'yaga na maboda boda kama nyoka.Haya munashiriki na hamuoni kua ni Dhulma ila kumdukua mkono munahisi ni unyanyasaji kwanini?