Unatumia antivirus ipi maana tumetest na antivirus nyingi na tovuti halina virus. Naomba u-clear cache yako pamja na Temporary Internet Files ili kufuta zile fiels za zamani, nadhani inaweza kusaidia.
Asante sana kwa kutoa tangazo, ni vyema kutahadhari wadau tunapokutana na virusi. Ukipata tatizo tena usikose kuwasiliana nasi, namba za simu na email zipo ndani ya tovuti yetu.