Nyerere or Tanzania not being popular in western countries is due to obvious reasons.I've seen many American girls named Kenya and a bunch of black people in the western world named Kenyatta .Isitoshe pia kule Disneyland kuna train station inaitwa "Nairobi Railway station' . For our Tzedian competitors i've never seen Americans naming themselves Nyerere au train station named Dar station.
Tanzania and Jamaica are having the fruitful bilateral relationship long time, from Nyerere tenures up to date, Tanzania heads of state have done several state visits to Jamaica in different tenures.
View attachment 1176788View attachment 1176789
Pillar of AfricaIla Nyerere aise
Ahsante kwa kila kitu Nyerere asante kwa kutuachia nchi nzuri
Nakupa tuzo ya kuwa mtu MUONGO zaidi kwa mwezi huuThe journey of dreadlocks: From the forests of Kenya, to the corporate offices of America.Watu wengi huwa wanadhani kwamba mtindo wa kusokota nywele, almaarufu kama 'rasta', uliibuka kwa waumini wa Rastafari kule Jamaica. Wao wenyewe waliiga mtindo huo miaka ya 1950's kutoka kwa Mau Mau, kikundi cha wakombozi ambacho ndio kilikuwa 'inspiration' kuu ya 'warasta'.The Journey Of Dreadlocks: From the forest of Kenya to the coporate offices in America.
(ThyBlackMan.com) Across the world one can find peoples from all cultures wearing their hair in the form of dreadlocks. This …thyblackman.com
Una uhuru wa kufanya utakalo, ila link nimekuekea hapo. Usitegemee nianze kukufanulia, soma.Nakupa tuzo ya kuwa mtu MUONGO zaidi kwa mwezi huu
Mbona kama umepanic hivi?Warm welcome kwa sababu ya Uhuru Kenya au sababu ya Raisi wa Kenya? Unafikiri ungekuwa wewe in Raisi wa Kenya Jamaika wangekunyima ,, warm welcome“ ?