ndikulonda
JF-Expert Member
- Jul 20, 2014
- 390
- 186
Ni kweli Warioba amekosa sifa za kuwa mwana ccm. Sifa za mwana ccm kwa uchache ambazo Warioba hana ni kama zifuatazo:Hatuna mtu mwenye akili za kipuuzi ndani ya CCM kama alizonazo Warioba. Arejeshe tu kadi yetu kwa maana amekosa sifa za kuwa mwana CCM
Hatuna mtu mwenye akili za kipuuzi ndani ya CCM kama alizonazo Warioba. Arejeshe tu kadi yetu kwa maana amekosa sifa za kuwa mwana CCM
Hatuna mtu mwenye akili za kipuuzi ndani ya CCM kama alizonazo Warioba. Arejeshe tu kadi yetu kwa maana amekosa sifa za kuwa mwana CCM
Mkuu imekua kadi yenu?? Ubinafsi unakiua chama. Kumbuka katiba na uongozi usiojali maslahi binafsi ndio nguzo za chama cha siasa. Umimi/ uyetu unakimaliza chama na si ajabu utakuja amka ukajikuta umetolewa nje kama unavyo maanisha kwa Warioba. Inasikitisha kuona chama kilichojengwa kwa misingi imara ya umoja kinapokwa na watu wenye hisia za kibinafsi na fikra finyu wanaunganishwa na hisia za KIHUNIHatuna mtu mwenye akili za kipuuzi ndani ya CCM kama alizonazo Warioba. Arejeshe tu kadi yetu kwa maana amekosa sifa za kuwa mwana CCM
Hatuna mtu mwenye akili za kipuuzi ndani ya CCM kama alizonazo Warioba. Arejeshe tu kadi yetu kwa maana amekosa sifa za kuwa mwana CCM
Waryoba anataka kugombea kwa tiketi ya UKAWA.
Hatuna mtu mwenye akili za kipuuzi ndani ya CCM kama alizonazo Warioba. Arejeshe tu kadi yetu kwa maana amekosa sifa za kuwa mwana CCM
kule CHADEMA, akina ZITTO, MKUMBO , MWIGAMBA, walisema uongo wakaitwa wasaliti? kweli nyani haoni ku.ndule
teh teh, inaonekana umetoroka milembe wewe! Je yaani manyang'au wale wote walioko ccm huwaoni?Hatuna mtu mwenye akili za kipuuzi ndani ya CCM kama alizonazo Warioba. Arejeshe tu kadi yetu kwa maana amekosa sifa za kuwa mwana CCM
teh teh, inaonekana umetoroka milembe wewe! Je yaani manyang'au wale wote walioko ccm huwaoni?
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dr Judge Joseph Warioba amesema kwamba yeye ni mwanaCCM wa ukweli tofauti na wengine ambao wako CCM kuchumia tumbo. Alisema hayo akiwa wilayani Bunda akiongea kwenye kongamano lililoandaliwa na asasi ya Fikra Pevu. Dr Warioba alisema kwamba kuna baadhi ya wanaCCM ambao wakiona maslahi yao yapatimii hukimbilia vyama vingine na kisha kurejea tena ndani ya chama huku wakijifanya kuwa na mapenzi ya chama wakati si kweli.
Chanzo: Uhuru
MAONI YANGU
Nakubaliana kabisa na maoni ya Dr Warioba. Kuna wanaCCM kama vile Wassira, Shibuda, Nsasugwanko, Bagenda, Ndobo na Makongoro Nyerere ambao waliikimbia CCM baada ya kuona maslahi yao hayatimii lakini baadaye waliamua kulamba matapishi yao na kurejea tena ndani ya CCM.
:yield:
Hatuna mtu mwenye akili za kipuuzi ndani ya CCM kama alizonazo Warioba. Arejeshe tu kadi yetu kwa maana amekosa sifa za kuwa mwana CCM
Hatuna mtu mwenye akili za kipuuzi ndani ya CCM kama alizonazo Warioba. Arejeshe tu kadi yetu kwa maana amekosa sifa za kuwa mwana CCM
Hatuna mtu mwenye akili za kipuuzi ndani ya CCM kama alizonazo Warioba. Arejeshe tu kadi yetu kwa maana amekosa sifa za kuwa mwana CCM
Aliyetoroka na wewe uliyeenda suku za karinuni nani alaumiwe.