Warioba ashitakiwe

Mzee na kamati yake wamegusa Ulaji wa watu sasa wanachachawa ! Maana palee kwenye wizara ya Muungano kuna Bajeti ya kutatua kero za Muungano ,hayo Mapesa yanamezwa na wajanja wachache Pia zile pesa za Mgao Fungu la Zanzibar kuna sehemu wajanja wanapenya na kumega . Mzee Warioba analijua Hilo Ndio Maana anataka Tanganyika ibaki na chake Maana imechoka kubembeleza muungano kwa mapesa kibao.
 
Tuzidi kumwombea Mzee Warioba awe na Aman moyoni Watanganyika wengi wapo nyuma yake
 
Mhe.Mkuu Wa Kaya Alinisikitisha Sana kwenye Hotuba Yake Ya Jana,
Alienda Kumkomoa Mzee Warioba na Tume Kwa Ujumla,
Kama Hao CCM walikuwa wanajua majibu ya muundo wa Serikali,Iweje Wapoteze Muda Na Fedha Za Walala Hoi,Kwa Tume Ambayo Wameikejeli Waziwazi??

I HATE CCM
 

Hiyo ndiyo Tanzania zaidi ya Uijuavyo ! Lakini Tambua Watanganyika wa sasa si wale wa zamani
 
Marekani kuna muungano wa Nchi 52 Hakuna kero za muungano wala wizara ya muungano ! Hata zile Nchi ndogo hazina wabunge wengi wala viongozi wengi Kama Muungano wetu . Tambua Kuwa huu ni muungano wa Ajabu uliosalia Duniani kwani Visiwa viwili Vidogo vinawapelekesha Nchi kubwa yenye Utajiri wa Rasilimali inapelekeshwa Kama Nyumbu ! Watu 1.5 million tu wamekuwa wajanja kuliko watu 44 million ! Wao chao ni chao lakini Cha Tanganyika ikiwemo Ardhi ni cha Wote .! Kwa kweli yatupasa kuutiza muungano huu kwa mapana zaidi , kwani hauna faida kwa Tanganyika Bali anayefaidi matunda ni Zanzibar pekee.
 

nina kaugonjwa fulani ambako tiba yake ni post kama hii! Well done mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…