Warioba Anataka Nini Hasa?


- Warioba anataka nini hasa sio haya uliyoandika ni hewa tupu!!

Le Mutuz System
 
Warioba yeye alipendekeza mapendekezo yake na nyie kama CCM kupitia serikali mliyapokea maana yake rasimu ipo sawa tayari kwa kujadiliwa, hivyo basi kilichotakiwa ni kujaribu kupangua hoja moja baada ya nyingine lakini nyie mnakimbilia anataka kupasua nchi sijui anataka nchi itawaliwe na jeshi mara wengine Warioba sio msafi kama mnavyodhani (kote huko kwa nini, watanzania tupo 45 million kwanini msijadiliane alafu mkatuacha tu-judge pumba zipi na mchele upi). Kwa kuwa nyie mnamjadili as ana individual na yeye anatumia haki yake kuweka mambo sawa na nina amini kwa muda ambao mjumbe mmoja alipaswa kuchangia kama sio kutumia muda kumsema Warioba yaani dakika mbili zingetosha kwa kila mjumbe kutoa hoja. Mtu anaongea mengineyo yasiyohusu katiba alafu akiambiwa bado dakika 3 ndio utasikia anazungumzia kidogo katiba na kumalizia "mimi muumini wa serikali mbili asante mwenyekiti"
 

- Warioba anataka nini hasa? Ripoti amekabidhi tayari sasa si ni haki ya wengine kuichambua ripoti yake inapochambuliwa anapiga kelele sana why? Amepewa kila nafasi ya kuchambua ripoti yake sasa atulie, kadri anavyozidi kujibu atajibiwa tu afike mahali atulize boli atucahie wanachi tuamue, kura za Serikali 3 hazipo yeye mwenyewe anajua hilo,

- UKAWA wanalijua hilo kwamba hawana chance sasa yeye anakazania nini hasa sijaelewa bado!!

Le Mutuz System
 

- Sasa hivi anaharibu kaka kwenye siasa huwezi kufanya anayoyafanya sasa hivi anazidi kuipa nafasi CCM na hoja ya Serikali 2 kuimarika zaidi, the more anavyopiga kelele ni the more anatushitua wengi CCM kwamba ana agenda flani hasa knowing nyendo zake nyingi za siri na upinzani sasa huu ndio mwisho wao, aibu!!

Le Mutuz System
 
Mbona hamchambui ripoti! Badala yake mnakesha mkimtusi na kumkejeli Warioba na sijaona hata mwanaCCM yeyote akimshambulia mjumbe mwingine wa tume hapo ndipo wananchi tunajiuliza kulikoni? Na kwanini msimshambulie aliyewateua kwani naamini kila walichokifanya alikuwa akipewa taarifa na alibariki mambo yasonge, au kwa vile naye kajifanya kujitoa utadhani tume haikuwa yake?

 

Mimi naunga mkono S3. However, kama sababu za kuwa na S3 ndizo hizi ulizozitaja hapo juu basi ni bora ya kuwa na S1 au kila mtu aanze kivyake!

Inawezekana (finally) kumbe Lukuvi knew what he was talking about afterall.

Which makes the whole thing a sad mockery!!
 
Hoja yake mpaka sasa haina nguvu,kuna mengi ya kupambanua cku si nyingi na watanzani mtajuwa ni kwa nn tunataka serikali 2 na c 3
 

Msimlaumu ametumwa na Bulembo mzee 7class.Katumwa na jumuiya ya wazazi.kiboko yenu Butiku bora warioba analemba
 
- Soma tena mada kaka hapa sijauliza credibility ya Warioba ninauliza anataka nini maana anayoyafanya sio madogo anatafuta nini hasa?

Le Mutuz System

Good question.

Anachokiongea Warioba is akin to university material halafu watu wengine (kama wewe) ambao kwa muktadha huu ni kama bado wapo kindergarten eti wanataka kulazimisha kuelewa.

Ukikua utajua tu, so be patient.
 
Sometimes the type of argument we 'persuaded' to engage in is what my professor of logic used to call "intellectual masturbation".
 
Kikubwa ni kupiga kazi maana kila kundi lina hoja na mwisho wa siku anaeshinda kwa hoja ndio mshindi, nilipenda hotuba ya maalimu Seif ambayo aliitoa kama Makamu wa kwanza wa raisi alijitahidi kutoa hoja akiwa neutral na kuomba kila kundi kusikilizwa pia maamuzi yatayofanyika lile kundi litakaloshindwa likubaliane. Huwa inarushwa TBC radio kwa kutoa highlight mbalimbali
 
FaizaFoxy, nakushuru kwa kumwelewa Jaji Warioba na ndiyo maana amesema kwa hali ya sasa 1+2=3. Serikali ziko mbili na nchi ni mbili; hivyo kuainisha Muungano hukwepi nchi nyingine kupata identity yake. 1+1=2 ilikuwa enzi hizo.
 
Last edited by a moderator:

....kati ya wazushi wajingajinga huko ccm wanaomwandama mzee Warioba nawe juha umo....hivi wewe na Warioba nani wa kumwongoza mwenzake??...nyie wazushi njaa ni janga kubwa hata huko ccm....Msikilize kwa makini babu yako Kingunge alichosema bungeni ili upate akili ya kujadili anayosimamia Warioba.....huyu mzee si mnafiki kama nyie wengine...ndio maana mnamuona adui.....maana hata hatima yenu hamuijui...endapo uchafu uliomo umo ccm utafanyiwa kazi....kama Warioba anavyawaambia bila unafiki....Kabla hujaanza kumjadili Warioba....jiangalie kwanza wewe mwenyewe na mchango wako huko ccm...alafu ndio umseme Warioba...idiot!!
 
Hoja yake mpaka sasa haina nguvu,kuna mengi ya kupambanua cku si nyingi na watanzani mtajuwa ni kwa nn tunataka serikali 2 na c 3

Hivi ni hoja yake au ni hoja ya watanzania? Mnataka serikali 2 ni akina nani nyie?
 

- Nimeuliza Warioba anataka nini hasa? Kaka unasema una elimu kubwa na hizi nonsense ulizoandika ndio jibu lake? ha! ha1

Le Mutuz System
 
Good question.

Anachokiongea Warioba is akin to university material halafu watu wengine (kama wewe) ambao kwa muktadha huu ni kama bado wapo kindergarten eti wanataka kulazimisha kuelewa.

Ukikua utajua tu, so be patient.

- Warioba anajua kwamba bungeni kwenye uamuzi hakuna kura za Serikali 3 sasa anapigania nini hasa? Mimi naomba kusema wazi bila kuficha sina heshima na kiongozi yoyote anayeshauri kuvunja Muungano, ili u-replace na nini hasa?

Le Mutuz System
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…