Tupe uzuri na ubaya wa serikali mbili pamoja na changamoto zake pia rudi upande wa serikali tatu nazo weka faida na hasara zake ili tujue kama mzee warioba kapotoka,unajua kama sera za mwalimu zilishindwa pia? Unajua kwa nini wakati wa mwiyi aliruhusu soko huria?(ruksa) bs ujue pia kulingana na mda na changamoto za hapa na pale na wimbi la watu wengi kuzidi kuelimika,mwalimu asingekuwa na choice zaidi ya kukubaliana na mawazo ya wengi ya serikali3.
Wanaopinga serikali 3 ni ccm na sio wananchi wote kama unavyojitahidi kupotosha.
Umeandika kwa kujikakamua bila kusoma a lama za nyakati.
Kama vile wewe unavyokurupuka bila tafakuri!
wewe jaribu sana kutumia akiri zako za kuzaliwa kuliko kumfanya Nyerere kama mungu wako. jiulize kwa nini Nyerere alipounganisha Tanu na Afro Shiraz hakuuiacha afro shiraz iwe huru visiwani. Ila alipounganisha Tanganyika na Zanzibar aliiacha zanzibar ijitawale? Muungano wa serikali tatu au mbili zote ni hisia za kipuuzi tupu. Muungano ni serikali moja tuu na raisi mmoja kwisha kazi.Nimemsikia Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Mstaafu Warioba akidai kupitia ITV leo kuwa Mwalimu Nyerere hakuwa na mawazo mgando, na kwa maana yake, anataka kuhalalisha kuwa kama angekuwepo, Mwalimu angeunga mkono mawazo yao ya kuibuka na serikali tatu. Amedai kuwa endapo angekuwepo Mwalimu leo angekuwa amekasirika mno kutokana na Katiba iliyopo ilivyochezewa. Naweza kumuunga mkono kwa hilo lakini ni ukweli ulio wazi Mwalimu asingeunga mkono muungano wa serikali tatu kamwe! Ni udhalilishaji mkubwa wa mtazamo wa Mwalimu kudai kuwa Mwalimu angeunga mkono serikali tatu!! Sote tulikuwa hai wakati Mwalimu alipoingilia kati, tena kwa nguvu zake zote, na kuziua juhudi za kikundi cha 45 cha kuanzisha harakati za kuunda muungano wa serikali tatu, harakati zilizokuwa tayari zimeshaungwa mkono na Mzee Malecela akiwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais chini ya utawala wa Mzee Mwinyi na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, marehemu Horace Kolimba. Huu anaoutangaza hivi sasa Warioba ni udhalilishaji mkubwa wa mawazo na msimamo wa Mwalimu kuhusu muungano. Ukweli ni kwamba muungano chini ya serikali tatu sio muungano. Hauna mashiko na ni rahiusi mno kuuvunja akitokea kiongozi mkorofi kutoka upande wa Tanganyika au Zanzibar kuliko muungano katika mtindo uliopo sasa. Na Warioba pamoja na heshima zake, asiwadhalilishe wananchi wanaopinga mawazo ya kuwa na serikali tatu kwa kuwaita ni "wenye mawazo mgando"--kama anavyoupigia yeye debe muungano wa serikali tatu pia hao wana haki ya msingi na ya kikatiba kuupinga muungano wa serikali tatu. Akae akijua sio suala la gharama tu linalopigiwa kelele, ila ni suala la mashiko katika muungano wenyewe. Kwa mtazamo wangu anayeupigia upatu muungano wa serikali tatu, hautaki muungano! Ukweli ni kwamba pamoja na juhudi zote hizo za kuutetea muungano wa serikali tatu, lakini Warioba hayuko wazi kuhusu ni wananchi wangapi wanaoutaka muungano huo. In fact, katika wananchi wapatao laki 3 waliohojiwa na tume yake kutoka bara na Visiwani, ni watu wapatao 19,000 tu waliounga mkono muungano wa serikali tatu--hakuna uhalali wowote wa kimahesabu na kimantiki unaoweza kusema kwa kujiamini kuwa Watanzania sasa wanaulilia muungano wa serikali tatu. Kwa kuanzisha muungano wa serikali tatu, ni wazi kabisa tutadhoofisha mno uzalendo wa Utanzania, ambao miaka ya hivi karibuni umeanza kuimarika sana ndani na nje ya nchi. Hivi sasa bendera ya Tanzania inapepea katika madaladala, bodaboda, viwanjani na vitu vyenye alama ama bendera ya Tanzania vimeanza kutapakaa nje ya nchi!! Watanzania tuwe makini sana katika suala hilo--mvi sio hekima!!
inaonekana umetoka chooni kuvuta ganja lako unaingia humu ukifikiri unaleta thread ya maana kumbe ----- mtupu!! kama uhendeshwi na ganja umetoa wapi hilo la kundi la watu 45 waliopinga muungano katika nchi hii? maviroba na mabangi tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!Nimemsikia Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Mstaafu Warioba akidai kupitia ITV leo kuwa Mwalimu Nyerere hakuwa na mawazo mgando, na kwa maana yake, anataka kuhalalisha kuwa kama angekuwepo, Mwalimu angeunga mkono mawazo yao ya kuibuka na serikali tatu. Amedai kuwa endapo angekuwepo Mwalimu leo angekuwa amekasirika mno kutokana na Katiba iliyopo ilivyochezewa. Naweza kumuunga mkono kwa hilo lakini ni ukweli ulio wazi Mwalimu asingeunga mkono muungano wa serikali tatu kamwe! Ni udhalilishaji mkubwa wa mtazamo wa Mwalimu kudai kuwa Mwalimu angeunga mkono serikali tatu!! Sote tulikuwa hai wakati Mwalimu alipoingilia kati, tena kwa nguvu zake zote, na kuziua juhudi za kikundi cha 45 cha kuanzisha harakati za kuunda muungano wa serikali tatu, harakati zilizokuwa tayari zimeshaungwa mkono na Mzee Malecela akiwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais chini ya utawala wa Mzee Mwinyi na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, marehemu Horace Kolimba. Huu anaoutangaza hivi sasa Warioba ni udhalilishaji mkubwa wa mawazo na msimamo wa Mwalimu kuhusu muungano. Ukweli ni kwamba muungano chini ya serikali tatu sio muungano. Hauna mashiko na ni rahiusi mno kuuvunja akitokea kiongozi mkorofi kutoka upande wa Tanganyika au Zanzibar kuliko muungano katika mtindo uliopo sasa. Na Warioba pamoja na heshima zake, asiwadhalilishe wananchi wanaopinga mawazo ya kuwa na serikali tatu kwa kuwaita ni "wenye mawazo mgando"--kama anavyoupigia yeye debe muungano wa serikali tatu pia hao wana haki ya msingi na ya kikatiba kuupinga muungano wa serikali tatu. Akae akijua sio suala la gharama tu linalopigiwa kelele, ila ni suala la mashiko katika muungano wenyewe. Kwa mtazamo wangu anayeupigia upatu muungano wa serikali tatu, hautaki muungano! Ukweli ni kwamba pamoja na juhudi zote hizo za kuutetea muungano wa serikali tatu, lakini Warioba hayuko wazi kuhusu ni wananchi wangapi wanaoutaka muungano huo. In fact, katika wananchi wapatao laki 3 waliohojiwa na tume yake kutoka bara na Visiwani, ni watu wapatao 19,000 tu waliounga mkono muungano wa serikali tatu--hakuna uhalali wowote wa kimahesabu na kimantiki unaoweza kusema kwa kujiamini kuwa Watanzania sasa wanaulilia muungano wa serikali tatu. Kwa kuanzisha muungano wa serikali tatu, ni wazi kabisa tutadhoofisha mno uzalendo wa Utanzania, ambao miaka ya hivi karibuni umeanza kuimarika sana ndani na nje ya nchi. Hivi sasa bendera ya Tanzania inapepea katika madaladala, bodaboda, viwanjani na vitu vyenye alama ama bendera ya Tanzania vimeanza kutapakaa nje ya nchi!! Watanzania tuwe makini sana katika suala hilo--mvi sio hekima!!
So, nani kakwambia na mimi ni CCM?
Mimi ni Mtanzania ndugu. Naitetea Tanzania yangu, na wala siijui Tanganyika na wala sina hamu ya kuijua. Nimezaliwa Tanzania!! Hayo ya faida na hasara--soma tena maandishi yangu! By the way, kuwa CCM ni dhambi ila kutokuwa CCM ndio ushujaa sio?
Tupe uzuri na ubaya wa serikali mbili pamoja na changamoto zake pia rudi upande wa serikali tatu nazo weka faida na hasara zake ili tujue kama mzee warioba kapotoka,unajua kama sera za mwalimu zilishindwa pia? Unajua kwa nini wakati wa mwiyi aliruhusu soko huria?(ruksa) bs ujue pia kulingana na mda na changamoto za hapa na pale na wimbi la watu wengi kuzidi kuelimika,mwalimu asingekuwa na choice zaidi ya kukubaliana na mawazo ya wengi ya serikali3.
Wanaopinga serikali 3 ni ccm na sio wananchi wote kama unavyojitahidi kupotosha.
wewe ndo mwenye mawazo mgando-serikali 3 ni lazima-zanzibar kwetu ni mzigo usio na maana-ni bora kuutua tuNimemsikia Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Mstaafu Warioba akidai kupitia ITV leo kuwa Mwalimu Nyerere hakuwa na mawazo mgando, na kwa maana yake, anataka kuhalalisha kuwa kama angekuwepo, Mwalimu angeunga mkono mawazo yao ya kuibuka na serikali tatu. Amedai kuwa endapo angekuwepo Mwalimu leo angekuwa amekasirika mno kutokana na Katiba iliyopo ilivyochezewa. Naweza kumuunga mkono kwa hilo lakini ni ukweli ulio wazi Mwalimu asingeunga mkono muungano wa serikali tatu kamwe! Ni udhalilishaji mkubwa wa mtazamo wa Mwalimu kudai kuwa Mwalimu angeunga mkono serikali tatu!! Sote tulikuwa hai wakati Mwalimu alipoingilia kati, tena kwa nguvu zake zote, na kuziua juhudi za kikundi cha 45 cha kuanzisha harakati za kuunda muungano wa serikali tatu, harakati zilizokuwa tayari zimeshaungwa mkono na Mzee Malecela akiwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais chini ya utawala wa Mzee Mwinyi na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, marehemu Horace Kolimba. Huu anaoutangaza hivi sasa Warioba ni udhalilishaji mkubwa wa mawazo na msimamo wa Mwalimu kuhusu muungano. Ukweli ni kwamba muungano chini ya serikali tatu sio muungano. Hauna mashiko na ni rahiusi mno kuuvunja akitokea kiongozi mkorofi kutoka upande wa Tanganyika au Zanzibar kuliko muungano katika mtindo uliopo sasa. Na Warioba pamoja na heshima zake, asiwadhalilishe wananchi wanaopinga mawazo ya kuwa na serikali tatu kwa kuwaita ni "wenye mawazo mgando"--kama anavyoupigia yeye debe muungano wa serikali tatu pia hao wana haki ya msingi na ya kikatiba kuupinga muungano wa serikali tatu. Akae akijua sio suala la gharama tu linalopigiwa kelele, ila ni suala la mashiko katika muungano wenyewe. Kwa mtazamo wangu anayeupigia upatu muungano wa serikali tatu, hautaki muungano! Ukweli ni kwamba pamoja na juhudi zote hizo za kuutetea muungano wa serikali tatu, lakini Warioba hayuko wazi kuhusu ni wananchi wangapi wanaoutaka muungano huo. In fact, katika wananchi wapatao laki 3 waliohojiwa na tume yake kutoka bara na Visiwani, ni watu wapatao 19,000 tu waliounga mkono muungano wa serikali tatu--hakuna uhalali wowote wa kimahesabu na kimantiki unaoweza kusema kwa kujiamini kuwa Watanzania sasa wanaulilia muungano wa serikali tatu. Kwa kuanzisha muungano wa serikali tatu, ni wazi kabisa tutadhoofisha mno uzalendo wa Utanzania, ambao miaka ya hivi karibuni umeanza kuimarika sana ndani na nje ya nchi. Hivi sasa bendera ya Tanzania inapepea katika madaladala, bodaboda, viwanjani na vitu vyenye alama ama bendera ya Tanzania vimeanza kutapakaa nje ya nchi!! Watanzania tuwe makini sana katika suala hilo--mvi sio hekima!!
Tumekusikia ILA tunasonga mbele
wewe ndo mwenye mawazo mgando-serikali 3 ni lazima-zanzibar kwetu ni mzigo usio na maana-ni bora kuutua tu
Nimemsikia Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Mstaafu Warioba akidai kupitia ITV leo kuwa Mwalimu Nyerere hakuwa na mawazo mgando, na kwa maana yake, anataka kuhalalisha kuwa kama angekuwepo, Mwalimu angeunga mkono mawazo yao ya kuibuka na serikali tatu. Amedai kuwa endapo angekuwepo Mwalimu leo angekuwa amekasirika mno kutokana na Katiba iliyopo ilivyochezewa. Naweza kumuunga mkono kwa hilo lakini ni ukweli ulio wazi Mwalimu asingeunga mkono muungano wa serikali tatu kamwe! Ni udhalilishaji mkubwa wa mtazamo wa Mwalimu kudai kuwa Mwalimu angeunga mkono serikali tatu!! Sote tulikuwa hai wakati Mwalimu alipoingilia kati, tena kwa nguvu zake zote, na kuziua juhudi za kikundi cha 45 cha kuanzisha harakati za kuunda muungano wa serikali tatu, harakati zilizokuwa tayari zimeshaungwa mkono na Mzee Malecela akiwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais chini ya utawala wa Mzee Mwinyi na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, marehemu Horace Kolimba. Huu anaoutangaza hivi sasa Warioba ni udhalilishaji mkubwa wa mawazo na msimamo wa Mwalimu kuhusu muungano. Ukweli ni kwamba muungano chini ya serikali tatu sio muungano. Hauna mashiko na ni rahiusi mno kuuvunja akitokea kiongozi mkorofi kutoka upande wa Tanganyika au Zanzibar kuliko muungano katika mtindo uliopo sasa. Na Warioba pamoja na heshima zake, asiwadhalilishe wananchi wanaopinga mawazo ya kuwa na serikali tatu kwa kuwaita ni "wenye mawazo mgando"--kama anavyoupigia yeye debe muungano wa serikali tatu pia hao wana haki ya msingi na ya kikatiba kuupinga muungano wa serikali tatu. Akae akijua sio suala la gharama tu linalopigiwa kelele, ila ni suala la mashiko katika muungano wenyewe. Kwa mtazamo wangu anayeupigia upatu muungano wa serikali tatu, hautaki muungano! Ukweli ni kwamba pamoja na juhudi zote hizo za kuutetea muungano wa serikali tatu, lakini Warioba hayuko wazi kuhusu ni wananchi wangapi wanaoutaka muungano huo. In fact, katika wananchi wapatao laki 3 waliohojiwa na tume yake kutoka bara na Visiwani, ni watu wapatao 19,000 tu waliounga mkono muungano wa serikali tatu--hakuna uhalali wowote wa kimahesabu na kimantiki unaoweza kusema kwa kujiamini kuwa Watanzania sasa wanaulilia muungano wa serikali tatu. Kwa kuanzisha muungano wa serikali tatu, ni wazi kabisa tutadhoofisha mno uzalendo wa Utanzania, ambao miaka ya hivi karibuni umeanza kuimarika sana ndani na nje ya nchi. Hivi sasa bendera ya Tanzania inapepea katika madaladala, bodaboda, viwanjani na vitu vyenye alama ama bendera ya Tanzania vimeanza kutapakaa nje ya nchi!! Watanzania tuwe makini sana katika suala hilo--mvi sio hekima!!
So, nani kakwambia na mimi ni CCM?
Mimi ni Mtanzania ndugu. Naitetea Tanzania yangu, na wala siijui Tanganyika na wala sina hamu ya kuijua. Nimezaliwa Tanzania!! Hayo ya faida na hasara--soma tena maandishi yangu! By the way, kuwa CCM ni dhambi ila kutokuwa CCM ndio ushujaa sio?
Sijao pahali Mzee Warioba alipo mkosea heshima Mwl. Msingi wa alichokisema Warioba, ni kuwa Katiba imechezewa chezewa na malimbukeni na walafi wa madaraka kiasi kwamba kwa hatua tulionayo sasa (kutokana na kusiginywa kwa Katiba ya sasa) hata Mwl angefufuka sasa, hapana shaka asingekuwa "na mawazo mgando" wa kung'ania muundo wa serikali mbili.
Hao Majangili ya kisiasa ndo hao hao wanaompinga Warioba though ndo wametufikisha hapa tulipo!
Ni serikali tatu ndo yenye jibu la kurekebisha at least matatizo yaliyopo, haiwezi kutibu kabisa kwani kuna manyang'au yakisiasa ambayo at the core of their thought,wanahitaji utengano wa nchi mbili hzi ili waogelee kwenye bwawa la vyeo vya kisiasa na faida za kimadaraka!