Bluray
JF-Expert Member
- Mar 25, 2008
- 3,449
- 127
Au uenda ni knee jerk reaction kama kawaida ya court jesters kama Bwana Makala. Hawaangalii hoja na kufanya tafakuri ila wao ni kumtetea mfalme hata kama yuko "nusu uchi"! Kumkosoa JK unatangaza uadui. Kila kitu kwao ni shwari na kazi yao kubwa ni kusema sawa mzee. With friends like Makala JK does not need enemies. Wanatosha.
Kama itakuwa hivyo basi Makala atakuwa amechemsha big time, maana hata Kikwete mwenyewe michongo ya promotion ya kuingia unaibu Waziri alipigiwa kwa Mwinyi na Warioba.