Umeigandisha picha we miss neddy kila niki upload iwe avatar yangu inagomaa
hahahahaa si nimekwambia nishaiwahi
Aisee mi avatar kama hizi najionea mwenyewe aibu kuweka
Hahaaaa uwiiii miss neddy we mzuri sana unajua yan ucjichubu hata kidogo
afu weweeeeeeee lol
Kwanini?imekuzidi kiwango au ni aje, mbona wewe ni zaidi ya hapo