Warefu wapo sexy zaidi

Huyu jamaa hakika atakuwa mbishi sanaa...alianzaje kutongoza.

Niliona documentary moja kuhusu huyu msichana, anasema siku zote alikuwa anataka boyfriend lakini watu wengi walikuwa wanampa za mbali, sana sana wanataka kupiga naye picha tu. Kwa hiyo huyo mjomba mi nafikiri hakupata naye tabu, alivyoomba tu kapewa.
 
Sasa huo urefu au ngongoti?? Mi napenda urefu lakini hapo balaa aiseee
 
Hiyo pant yake kwngu mi trauzer hiihiiihiiiii
 

Attachments

  • 1410268120187.jpg
    19.9 KB · Views: 778
Twin nashangaa, hata mimi. Kila sehemu nipo. Wafupi nimo, wasioolewa nimo, bonge nyanya nimo, Teamvipara nimo!

Mi sijamaanisha hivyo.....kuna siku walikuwa wanapondea wanawake warefu ulisema we mrefu leo wanatupondea wafupi umo...khaaa
 
Mi sijamaanisha hivyo.....kuna siku walikuwa wanapondea wanawake warefu ulisema we mrefu leo wanatupondea wafupi umo...khaaa

Mie mchangia popote, kwani hukumbuki enzi za UKI njia fupi, huwa kunakuwa na mchangia popote???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…