Poa 2
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,326
- 1,347
Dr. Habari za siku
Kwanza pole na maumivu unayoyapitia Kwa Sasa, pia hongera Kwa ujasiri hewa uliotuonyesha watanzania kupitia wakulima uliozungumza NAO.
Binafsi maneno Yako ni ya haki, kweli na ndivyo tunavyopaswa kusimama kama taifa.
LAKINI Dr. Ni kweli umesahau nguvu ya mwenyekiti wa CCM?
Umesahau nguvu ya Rais wa JMT kikatiba hasa Kwa katiba hii ya chama kimoja?
Hivi umesahau jinsi ulivyokuwa unamsifia MAGUFULI hata KWENYE mambo ya kipuuzi?
Umesahau kwamba wewe ndio mwasisi mwa mapambio ya sifa, kujipendekeza na kujikomba Kwa Raisi kuliko kawaida?
Nikukumbushe TU huna nguvu KUMZIDI mwenyekiti wako wa chama na uache mara Moja kupingana naye waziwazi utapotea KWENYE ramani ya siasa hapa nchini akiamua.
Anayeweza kupingana na mwenyekiti wako wa chama chenu ni yule mwenye sapoti kutoka Kwa kale kakikundi Cha chama apako kana nguvu kuliko mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT.
Kama kweli una Nia ya dhati na haujupitiwa hebu Toka tena hadharani na upinge pinge.
Au wewe ndiye yule tumtarajiae?