mr
fazaa
idea ya utatu haimfanyi mungu kuingia peponi kama unasoma biblia soma injili ya yohana na kitabu
(nimenukuu gospal ya Yohana)
1 Hapo mwanzo kulikuwako
Neno, naye
Neno alikuwako kwa Mungu, naye
Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
3
Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.
6 Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana.
7 Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye.
8 Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru.
9 Kulikuwako Nuru halisi, amtiaye nuru kila mtu, akija katika ulimwengu.
10 Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua.
11 Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.
12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
alafu quran si kitabu cha Mungu ati kabisa kina makosa yafuatayo yanayotia mashaka kuhusu imani hii.
1. hakuna mtume hata mmoja kwenye biblia aliyuepata utume kama alivyopata muhhamad kwani anadai alitokewa na malaika ambaye hakujitambulisha badaye wakaclaim kuwa ni gabriel kitu kisicho cha kweli kwani gabriel alijitambulisha kwa watu wote aliowatokea. hivyo muhhamad alitokewa na jini kama yeye mwenyewe alivyozani.
2. roho mtakatifu na malaika gabriel kwenye kuran ni the same thing kitu ambacho ni uongo.
3. huyo anayejiita allah mabaye anapinga kwamba yesu hakufa bali alimbadilisha mtu mwingine kimiujiza anapingana na biblia 100%.
rejea isaya 53:12 Kwa hiyo nitamgawia sehemu pamoja na wakuu, Naye atagawanya nyara pamoja nao walio hodari; Kwa sababu alimwaga nafsi yake hata kufa, Akahesabiwa pamoja na hao wakosao. Walakini alichukua dhambi za watu wengi, Na kuwaombea wakosaji.
1 Wakorintho 6:14 Naye Mungu alimfufua Bwana, na tena atatufufua sisi kwa uweza wake.
1 Wathesalonike 1:10 na kumngojea Mwanawe kutoka mbinguni, ambaye alimfufua katika wafu, naye ni Yesu, mwenye kutuokoa na ghadhabu itakayokuja.
4. quran inafundish ushirikiano baina ya majini na binadamu kinyume na biblia kwa kuwa hao ni malaika wa shetani hatutakiwi kushirikiana nao Mungu atatulinda kwa malaika akataka kutupa ulinzi na si majini.
Zaburi 91:11 Kwa kuwa atakuagizia malaika zake Wakulinde katika njia zako zote.
5. quran inasema allah hashirikiani na chochote alichofanya tofauti na Mungu wa kweli ambaye alimtumia Mussa na aliongea naye ana kwa ana lakini allah hajawahi kuzungumza na mtu ana kwa ana na wala hashirikiana na watu amejitenga.
6. vile vile allah alituma malaika wake maluti na haluti kuja kuleta uchawi lakini kwetu sisi uchawi ni kazi ya shetani shetani alivyopigana vita na majeshi ya Mungu alipigwa na alitupwa na uwezo wake hakunyang'anywa huo uwezo ndio uchawi na maovu mengine mengi kufuga majini, kupiga ramli,
7. biblia inasema hakuna uchwai unaoweza kufanikiwa juu ya mtume wa Mwenyenzi mungu au israel au Yakobo lakini muhammad alishafanyiwa uchawi na kuvurugwa akili so hutakiwi kunfuata angekuwa mtume wa Jehova uchawi usingefanikiwa kwake.
jitahid usome injili ya yohana achana na mashahiri ya muhhamad kabisa mimi mwenyewe nilikuwa muislamu (nasema kweli for Christ's sake) nilibadili nilivyofika chuo baada ya kuujua ukweli.