Waraka wa muhimu Kwenu wana CC

wewe walete kwa njia ya kuniPM tu nitawaombea kwani hujui kuwa Bujibuji amefungua kanisa? ndiko nitakakosali hapo kwani mm nitakuwa parish worker wake pale kanisani, na ikiweezekana hata wewe nawe wahitaji maombi ya siku 3 ubadilike
Unasali kanisa gani mama nimlete Erickb52 na Arushaone maana wanahitaji maombi hawa,too much kusarandia wake za watu.
 
Last edited by a moderator:
laiti ungejua mapozi ya wengine ni kukuangalia kimtindo, na wengine kwa sauti tu utajua kuwa huyu ana mapozi, ni pale Leo tena pub umepakumbuka au ndo mizengwe hiyo?
na pakumbuka sana...ila sina mapozi...na siwezi kuwa na mapozi...ingawa watu wanaweza sema nina pozi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…