Waraka wa mishahara mipya

Waraka wa mishahara mipya

kalenge2000

Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
45
Reaction score
7
Jamani wana jf naomba kujua kama kuna mtu ameshauona waraka mpya wa mishahara hasa upande wa walimu.

Naomba kujua content zake.
 
walimu TGTS A-20%, TGTS B-17%, TGTS C-15%, TGTS D-13%, TGTS E-11%, TGTS F-9%, TGTS G-6%, TGTS H-4%, TGTS I-3%.
 
Fastjet npo mwanza tangu SAA tatu tulikuwa tunatakiwa kuondoka but mpaka sasa bado hatujaondoka wanasema kuna tatizo la kiufundi jamani hii ndege Jamaa hafanyi service.
 
Fastjet npo mwanza tangu SAA tatu tulikuwa tunatakiwa kuondoka but mpaka sasa bado hatujaondoka wanasema kuna tatizo la kiufundi jamani hii ndege Jamaa hafanyi service.
Umechanganya mada.....!
 
bado uchaguz ukifika waalimu fanyen maamuzi magumu kama lowasa atapita mupen kura ale kwan walim ni kilio chake lkn wakipitisha mwingine membe etc wapeni chadema muone mishahara juu.
 
Back
Top Bottom