Jackbauer, sio taarifa za Arumeru, uchaguzi ulishafanyika kitambona matokeo ya Arumeru yalishatoka na nilishayatangaza huko nyuma. Kinachoendelea sasa ni kutimizwa tuu kwa matakwa ya sheria, taratibu na kanuni!.
Feedback, nakubaliana na wewe nguvu ya umati kwenye mob psychology, ila ukiwa na watu 10 ambao ni wapiga kura thabiti, ni bora kuliko umati wa watu elfu wenye wapiga kura wawili!.No, tunaongea na facts, hata hivyo kuwa na washabiki wengi nayo ni factor mojawapo ya ushindi, washabiki wengi wana motivate undecided voters kukipenda chama, hizi ni kampeni za wazi kwa hiyo huwezi kuniambia uitishe mkutano wakusanyike watu 10 halafu useme chama kitashinda kwanza hata hao 10 si wote watakaokupigia kura.
Mumwi, kama kipimo cha kuwapima CCM damu ni wale wanaosema kweli daima na kusimama kwenye kweli, no matter what, then, "Mimi Pasco wa jf ni CCM damu!". Mimi kama mimi, Pasco wa jf, naendelea kusisitiza sio mfuasi wa chama chochote, bali ni mshabiki wa demokrasia ya kweli na kusimama kwenye kweli.Kumbe we ni ccm damu sikujua
Kama ushindi ni makundi ya watu, au kubwebwa juu juu, basi Lyatonga angeshinda ile 1995!. Laiti huo umati ungewa ni umati wa wapiga kura!.
Angalizo: Msije kunifikiria mimi ndio naishabikia CCM ishinde, au namshabikia Sioi, no!, mimi nasimama kwenye ukweli, hata ukiwa ni mchungu kiasi gani, ukweli utabaki kuwa ni ukweli na ndio utakao simama!.
Endeleeni kujifariji na umati wa watu kwenye kampeni, mimi nilishuhudia haya kwa macho yangu kule Busanda na Biharamulo!. Sasa subirini matokeo Arumeru ndipo tutaeleweshana vizuri!.
Mkuu Mumwi, fuatilia tuu post zangu, utagundua sina ajenda ya siri bali nasimama kwenye kweli!. Pia naomba uelewe sio rahisi kusimama kwenye kwenye kwa jamii iliyogubikwa na ubatili kama sisi Watanzania na wengu wetu hatupendi kuusikia ukweli mchungu, hivyo ninavyotoa dose chungu kwa watu wanaoendekeza lawalawa, naelewa pia nini huwa kinafuatia, na kwa vile nasimama na kweli, sijali nitaonekanaje, hivyo kunidhania nina ajenda ya siri, ni sehemu tuu ya wapenda pipi, lawalawa ambao wanashabikia zaidi nyimbo na sifa na mapambio!.Nahisi una ajenda ya Siri maana umekomalia sana hii umekuwa ndiyo msemaji Wa Nape?
Babuu, tusubiri matokeo ya Arumeru, ndipo tuendelee kuelimishana!.mkuu sisiem wamezoea kuiba mwaka 95 nilkuwa mdogo sana siwez kuzungumzia ila wapo ndugu na marafiki wapo vyuoni hapo makumira na uni of arusha wanasema wanapigiwa simu na makada wa sisiem wakusanye id zao au wawaakikishie watawapa kura kwa malipo ya sh 10.vijana ni wajanja wanakula pesa kura cdm ,kura ni siri bana wapeni pesa na pombe vijana wasahau shida kwa muda.wakati ushafika wetu sisi nyie mda wenu wa zama za kulambana miguu umeshapita.WAJINGA NDIO WALIWAO tunaanza na AM no kuchakachua matokeo
Mbona CCM ndio wataalamu wa kuandika nyaraka, kama ule wa juzi waliodai umeandikwa na Mhs Zito, hii sio kampein ya ndani kwa ndani kweli wenyewe kwa wenyewe???????????Mkuu Feedback niko pale pale niliposimama na msimamo ni ule ule, huyo mfa maji ni aliyeandika waraka ili uonekane ni wa CCM!.
Feedback, nakubaliana na wewe nguvu ya umati kwenye mob psychology, ila ukiwa na watu 10 ambao ni wapiga kura thabiti, ni bora kuliko umati wa watu elfu wenye wapiga kura wawili!.
The factor ya undecided votes doesn't apply kwenye maeneo yenye ukabila wa hali ya juu unaondekezwa na nguvu za koo kama Arumeru!. Hivi kulikuwa na sababu gani daftari la kudumu la Arumeru lisiwe updated kabla ya uchaguzi?. Sheria ya uchaguzi inasisitiza uchaguzi mdogo kufanywa ndani ya siku 90, siku 7 tuu zingetosha kufanya update!. Kama wapiga kura ni wale wale ambao hawakumchagua mgombea yule yule na badala yake wakamchagua mgombea fulani aliyekuwa hoi bin taaban akiugulia kitandani bila kufanmya kampeni yoyote!, unadhani kitu gani kitawafanya wapiga kura hao hao sasa ndio wamchague ili hali sasa ndio anasimama na mtu fit?!.
Mbona CCM ndio wataalamu wa kuandika nyaraka, kama ule wa juzi waliodai umeandikwa na Mhs Zito, hii sio kampein ya ndani kwa ndani kweli wenyewe kwa wenyewe???????????
Babuu, tusubiri matokeo ya Arumeru, ndipo tuendelee kuelimishana!.
Kumbe we ni ccm damu sikujua
Hivi kulikuwa na sababu gani daftari la kudumu la Arumeru lisiwe updated kabla ya uchaguzi?. Sheria ya uchaguzi inasisitiza uchaguzi mdogo kufanywa ndani ya siku 90, siku 7 tuu zingetosha kufanya update!.
Kipindi kile hawakuwa na taarifa kuwa Mhs Mkapa kawadhurumu mashamba yao kama sasa!!!! Utanda wazi umeongezeka sasa, CCM wamelikologa wenyewe na kampeini za kubebana na kupalulana, majibu yake tuyangojee kesho kutwa!!!!Mkuu Angel Msoffe, kwani wanaochagua ni CCM au ni watu wa Arumeru?, kama uchaguzi wa mwaka 2010, mgombea fulani alishindana na mgombea wa CCM aliyekuwa hoi kitandani, CCM iukashinda!, what chances does does he stand kushinda, mgombea huyo huyo kishindana na mgombea ambaye yuko fit!. Kama umefanya experiment kwa kutumia the same reagents na the same conditions, usitegemee kuypata matokeo tofauti!. Sio hata angekuwa anasimama tuu na kusema, "jamani nipeni pole tuu kwa kufiwa na baba", bado anashinda kwa symphatetic votes!.
Jamaa naona unafaraja ambayo haina sababu.arumeru residents shall decide who is to take the throne,people like u always commit sucide when they find the possible is impossible on the face of the lord.
Waraka huu umeandikwa na CCM kwa lengo la kumpa ushindi Siyoi.Lengo la waraka huu ni kuwakasirisha Wameru ili waende kumpigia kura Siyoi kana kwamba hapendwi na wenzake ndani ya chama ila wao wapiga kura wanampenda.CCM mara zote hujifanya wabunifu.Think twice...