Waraka kwa Vodacom Tanzania

Waraka kwa Vodacom Tanzania

Alafu ukipiga sahvi kwa masuala ya vocha na vifurushi hupati namna ya kuongea na mtoa huduma wao.

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

Eti nabakia Africa.
Wameficha sana menu ya kuongea nao mojakwamoja nahisi wanajua wana madhambi wanaogopa. Kwa wageni ndio kabisa utaishia kukisikiliza kile kisichana chao mpka uchoke. Kwanza kina sauti mbaya sana 😂.

Ukitaka uwapate vzuri wewe ingilia kwenye menu ya mpesa. Unapiga namba 100 kisha wanaanza mahubiri yao ukishaanza kusikia "kwa tatizo la mpesa bonyezq 1" bonyeza moja kisha kakianza maelezo unabonyeza 5 kisha akianza tena kuongea unabonyeza 0. Mojakwamoja unampata muhudumu. Sema siku hizi wananyodo sna. Ukiwaambia ukweli wanajifanya kukukoromea, mimi naenda nao kigumu na walishanijua siwapi nafasi waongee. Mfano wana tbia ya kutoa ofa za internet ila ukijiunga net haifanyi kazi (nimeshafafanua kwenye comments mbalimbali) ukipiga wanakwambia wanaripoti kitengo husika. We! Huwa nawawakia na ninawauliza kama wanajua hawawezi kumuhudumia mteja mojakwamoja kwnn wasimuunganishe mteja mojakwamoja na kitengo husika? Nikikata simu tu wanakuwa wameshafungua data zangu na naendelea kuinjoi. Jamaa ni wjinga kiwango cha stiglers
 
Mimi likija swala la simu za offer huwa sipendagi kabisa kuzinunua kwa sababu naonaga ni mateso simu ninunue kwa fedha yangu halafu nianze kupangiwa eti laini namba moja lazima niweke laini ya mtandao nilionumua simu ya offer.
 
Hata mimi nimekuwa nijifanya hivyo. Ila wengi wasiojua wanashindwa kuwapata. Alafu mara zingine ukiongea nao wanakuwa wakali wakati mimi ndio nawapa ugali.
Wameficha sana menu ya kuongea nao mojakwamoja nahisi wanajua wana madhambi wanaogopa. Kwa wageni ndio kabisa utaishia kukisikiliza kile kisichana chao mpka uchoke. Kwanza kina sauti mbaya sana .

Ukitaka uwapate vzuri wewe ingilia kwenye menu ya mpesa. Unapiga namba 100 kisha wanaanza mahubiri yao ukishaanza kusikia "kwa tatizo la mpesa bonyezq 1" bonyeza moja kisha kakianza maelezo unabonyeza 5 kisha akianza tena kuongea unabonyeza 0. Mojakwamoja unampata muhudumu. Sema siku hizi wananyodo sna. Ukiwaambia ukweli wanajifanya kukukoromea, mimi naenda nao kigumu na walishanijua siwapi nafasi waongee. Mfano wana tbia ya kutoa ofa za internet ila ukijiunga net haifanyi kazi (nimeshafafanua kwenye comments mbalimbali) ukipiga wanakwambia wanaripoti kitengo husika. We! Huwa nawawakia na ninawauliza kama wanajua hawawezi kumuhudumia mteja mojakwamoja kwnn wasimuunganishe mteja mojakwamoja na kitengo husika? Nikikata simu tu wanakuwa wameshafungua data zangu na naendelea kuinjoi. Jamaa ni wjinga kiwango cha stiglers

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

Eti nabakia Africa.
 
Hata mimi nimekuwa nijifanya hivyo. Ila wengi wasiojua wanashindwa kuwapata. Alafu mara zingine ukiongea nao wanakuwa wakali wakati mimi ndio nawapa ugali.

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

Eti nabakia Africa.
Mimi wakileta mambo yao huwa nawawakia pia. Kwanza huwa siwapi nafasi wanipe blabla zao, huwa nawaambia kazi yao ni kunisikiliza na kutoa suluhusho na sio kuongea kama vile wao ndio wamepiga simu. Nawaambia kama wana shida na mimi watanipigia kwa muda wao. Jana walinipigia kuniambia sijakamilisha usajili, nasubiri kesho niwapandie hewani
 
Hahaha hawa ndio dawa yao.

Back
Top Bottom