teh wazinzi bwana
mke wa mtu unagawa tunda mmu?
loh
Darling....... tulifahamiana kupitia mtu niliyefahamiana naye kupitia humu mmu,hivyo kupitia ukurasa huu nichukue fursa hii kukupa pole sana kwa ndoa yako kuvunjika na kwa maumivu ya mwili unayougulia.Kwa kweli najisikia vibaya sana kwa tukio hili na ninakuahidi kusimama bega kwa bega na wewe katika kipindi hiki kigumu sana katika maisha yako.Kilichotokea kwa kweli lilikuwa ni jambo la bahati mbaya sana na sikutaraji penzi letu ligundulike kwa mmeo.Mimi na wewe tungejuaje kuwa kipande cha pakiti ya kitendea kazi kingeganda mgongoni mwako hadi hadi kupelekea uliporudi nyumbani mmeo akione wakati unajiandaa uingie bafuni? it was indeed a freak accident.Ghadhabu ya mmeo iliyompelekea akupige hadi ulazwe na kisha akuletee talaka yako wodini naielewa,kikubwa bora uzima.
Pamoja na kwamba hali hairuhusu mimi na wewe kuoana lakini naahidi kukusaidia uweze kusimamia miguu yako mwenyewe,kwanza tugange maumivu.
I still love you,
Bishanga Abashaija.
Yaani mwenzio hajapona wewe unaanza kumtangazia kuwa kapoteza kote kote? Halafu unajidai eti bado unampenda??
Au ni maandalizi ya kumtayarisha mwenzio awe pozeo la kudumu?
Babu DC!!
mmmmmhhhh???????Usijali.... Nimekusamehe B'. Ningeandika mengi ila kipigo kilifanya kidole changu cha kati kuvunjika hivo naandika kwa maumivu makaliiii.... I am Sorry mie it was for fun and I still Love "HIM" Bado nipo kumbembeleza... nilikua sijitambui wakati nipo na wewe naona tu mapepo yaliniingia.
Yaani mwenzio hajapona wewe unaanza kumtangazia kuwa kapoteza kote kote? Halafu unajidai eti bado unampenda??
Au ni maandalizi ya kumtayarisha mwenzio awe pozeo la kudumu?
Babu DC!!
Sasa na utangaze lini utamuoa huyo mdada wa watu uliyemvunjia ndoa yake!umeanza! kwanza nani kakuita kwenye thread yangu? mlango huoooo timka uende kuleeee ulikofungua uzi chichat.
Usijali.... Nimekusamehe B'. Ningeandika mengi ila kipigo kilifanya kidole changu cha kati kuvunjika hivo naandika kwa maumivu makaliiii.... I am Sorry mie it was for fun and I still Love "HIM" Bado nipo kumbembeleza... nilikua sijitambui wakati nipo na wewe naona tu mapepo yaliniingia.