Nayeye anaakili sasa hivi yupo katika peack acha awatindue wakati ukifika wakupumzika ataacha kwani kitu gani shingapi wapelekee moto naye mtoto wakiswazi anajua maujanja unawezakukuta yeye ndiye anawagema kwani wanawake wanahizo mimi naona hapa kilichotawala ni wivu na chuki baaaasssi au wasemaje
miss chagga