Mpwa ntakucheki midahiyo Njoo na
HOTEL OSCAR ECHO
Haya mpwa well noted
Mpwa ntakucheki midahiyo Njoo na
HOTEL OSCAR ECHO
njoo peace hapa mwananyamala full amsha amsha mida hii kisha jioni mdogomdogo pale twita pub manyanya
amsha popo sio!
Nimemmis ...
Cha ukucha wape hi Forodhani ..
Sio secondary hii ni sehemu yakula huko znz
Ingaawa itakuwa bored na haka kamfungo hata vile vyakula kama vya afrikasana
aka mifugo wako mfungoni
Angalia tu akilizao moja pesa wekakwenye pochi wakati unawasomesha
Mapenzi yangu ufike salama anything between ni mapenzi ya Mungu
mkuu Pdidy, kwa sasa nipo hapa mlimani city napiga mishe zangu.jioni kama kawaz kama dawaz nitajisogeza pale samaki samaki kulainisha koo na kucheki watoto wakali wa town.
Niko ofisini namalizia issue flani hivi, nikitoka hapa naelekea Mbagala nikitoka mbagala narudi Maeneo ya Shekilango hapo nitatafuta sehemu yenye "NOAH" baada ya hapo nakimbilia kwa my wife wangu.
Mpwa wangu usisahau kutoa mchango kwajili ya kwenda kuwaona Wagonjwa hapo tarehe Nane mwezi wa nane