Hatujambo kamanda,Naona malofa huku tutazidi tu kuonhezeeka na uzuri ni kwamba wote tunavichinjio. Mabadiliko nje ya ccm ni lazima yafanyike Mwaka huu kwa njia yoyote ile.
Hatujambo kamanda,Naona malofa huku tunazidi tu kuongezeeka na uzuri ni kwamba wote tunavichinjio. Mabadiliko nje ya ccm ni lazima yafanyike Mwaka huu kwa njia yoyote ile.