Kweli CHADEMA haijali watu yaani viongozi wanaenda kwa magari walala hoi wanatembea hata na mguu peku?
Je CHADEMA imewanunulia viatu vya kutembekea?
kwani wwe hauko mstali wa mbele?
naona cdm inazidi kupoteza umaarufu kanda ya ziwa haiwataki juzi walikuja kusikiliza mziki
chdm naona inakosa nguvu
Masikini hata watu hawawakubali
Mnyika bado ni mdogo sana
Bado wanampa uji
je cdm imekosa soko? mbona inaangaika sana?
je watawanunulia viatu vya kutembelea?
Kwanini Slaa anahangaika?
Je cdm dar es salaam hawakubaliki?
KWANIN CHADEMA HAIKUBALIKI DAR ES SALAAAAAm?
Next oneWewe na huyu jamaa mnaonekana wote ni mawakala wa vyama tu humu JF! Wewe Uko CDM na mwenzako yuko CCM! Unacholalamika nini yani tupoteze muda kujadili malalamiko ya kichama!
Wewe na huyu jamaa mnaonekana wote ni mawakala wa vyama tu humu JF! Wewe Uko CDM na mwenzako yuko CCM! Unacholalamika nini yani tupoteze muda kujadili malalamiko ya kichama!
Next oneNa ingekuwa vyema kama hii thread ingepelekwa kwenye jukwaa la Complaints
jE KWENYE MSAFARA WA KENGE MAMBA WATAKUWEPO??Kwenye msafara wa mamba kenge wamo
wewe ulitaka kila mtu awe na mawzo kama yako! acha mawazo ya kijima
Inaonekana ndo principal ya JF,ukitofautiana nao kimawazo hakuna anae tafuta kukuelewesha ni matusi tu,.....kwa mtindo huo nadhani hata jeykey alikuaga muelewa sana ila alipo anza kuwa kuuliza mambo wakaanza kumtukana!
Next onewewe ulitaka kila mtu awe na mawzo kama yako! acha mawazo ya kijima
wrong one mkuu... umehukumuInaonekana ndo principal ya JF,ukitofautiana nao kimawazo hakuna anae tafuta kukuelewesha ni matusi tu,.....kwa mtindo huo nadhani hata jeykey alikuaga muelewa sana ila alipo anza kuwa kuuliza mambo wakaanza kumtukana!