Wapo Wengi

Sana.

Tena wengine wanalazimisha kuwa nacho kifriji hata kama hawana wanalazamisha kuchomekea na kujivimbisha vimbisha mbele za watu ili na wao waonekane wana kifriji.

Nyie mnaopenda penda vitambi msijilegeze jikazeni, magonjwa hayo sio mnaona ujiko.

Muwe mnafanya mazoezi sio mnajiachia kizembe zembe.

Na ndio maana mnakuwa mnahema juu juu, magonjwa hayo sio sifa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…