Kuandika fitna za kuihusisha zanzibar na ugaidi
okay zimekuwa uploaded baada ya kuwa nimekujibu ngoja nizipitieUshahidi si izo apo commnent, au unataka kipi zaidi?
Hem nifafanulie katiba imevunjwa vipi hapo, au na ww ndo wale wale?
Mtumbueni bas malinzi, maana alianza na CAF, anakuja FIFA na tunamaliza na muungano
- Kitendo cha Zanzibar kujiunga CAF na sasa kutafuta uanachama wa FIFA ni uvunjifufu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano
- Raisi Magufuli, Waziri wa Katiba na Sheria, Mwanasheria Mkuu wa Serikari na Waziri mpya wa Michezo kweli hamyaoni haya?
Ndo huoni tunaelekea ukingoni uko, kama kweli mna uchungu mtumbueni malinzi maana Alianza kubariki suala la CAF sasa tunaendelea 2. Mark my words hii ni mwanzo wa safari ya wazanzibar mengi yataibuka mtachukia sana 2 mara hii
- Zanzibar sio nchi
- Nchi ni Tanzania, na Taifa Stars ndio timu yetu ya taifa na ilikuwa ikujumuisha Wazanzibari
- Hivi Raisi Magufuli msimamizi wa Jamuhuri ya Muungano hayaoni haya?
- Si asome hata vitabu basi aone mwenzie Nyerere alifanya nini pale Zanzibar ilipovunja katiba ya Jamuhuri ya Muungano kwa kujiunga na OIC