Wapo wapi mzee Wassira na Tendwa?

Wapo wapi mzee Wassira na Tendwa?

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
25,260
Reaction score
7,217
long time sijasikia mipango inayosound big ya hawa wazee.Hasa linapokuja suala la kudili na cdm.huwa wanapata maono sana.

Jama anayejua whereabouts zao jamani atutonye tuwakumbushe maono yao.

Pasco km hayupo busy ktk programs za kufagilia gambaz angeza tupa vipande vya mazungumzo nao.kweli cdm ni machinjio ya gamba.

C:ZeMarcopolo,rits.
 
Wasira amefulia, tendwa yuko honeymoon na mke mpya!
 
Wasira amefulia, tendwa yuko honeymoon na mke mpya!
Heri tendwa,sasa wassira kawahi kijiweni kabla ya cdm?vipi na mangula?anarudisha afya kwanza kabla ya kupelekwa waona cdm?au anamuuguza dentist?
 
Hao wazee watakuwa wametahayuri sana,baada ya jaji Kaduri wa mahakama kuu,kuyafutilia kwa mbali,mashitaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili,Lwakatsre.

Si mnakumbuka duly za nyuma,mara kwa mara,alikuwa akisikika,Wassira,akikitabiria kifo Chadema kabla ya 2015? Na Tendwa mara kwa Mara,alikuwa akisikika mara nyingi,kuwa hatasita kukifuta kutoka orodha ya vyama,kwa chama chochote cha siasa,kitakachoonyesha dalili ya kufanya mambo ya kigaidi?

Sasa ndiyo tunajua,what was behind those statements,kumbe ilikuwa ni mipango,iljyokuwa inapangwa gizani,kati ya magamba, poliCCM, TISS, pamoja na huyo gamba,msajili wa vyama.

Sasa baafa ya kuona mipango yao,imebackfire vibaya mno,hivi sasa wametahayuri,na wanaendelea kupata dozi,kutokana na pressure,iliyowapanda!!
 
Hakuna kazi ngumu duniani kama kupingana na hali halisi
 
Wasira anasema sura haiwezi kuwa habari...
 
Katika siasa Tendwa na Wassira ni kama wachawi tu, kutwa 'kukaanga sumu' ya kutaka kuangamiza watu wanyonge.
 
Kama Tendwa hawezi kutoa tamko dhidi ya chama chake kwa yanayoendelea Mtwara-the same Kwa Wassira basi wajionee aibu wenyewe! Na mbaya zaidi waone kufumbia macho mambo ya msingi ndo yametufikisha hapa.
 
Tendwa ajiandae ifuta CCM kwa ugaidi ,udini na ukabila,halafu aje kwa CUF juu ya udini, na pia kuwa km tawi la CCM.
 
Kama Tendwa hawezi kutoa tamko dhidi ya chama chake kwa yanayoendelea Mtwara-the same Kwa Wassira basi wajionee aibu wenyewe! Na mbaya zaidi waone kufumbia macho mambo ya msingi ndo yametufikisha hapa.

Kwa ushahidi wa CDM Tendwa ajikaze kutoa sababu ya kufuta CCM ..mbaya alishajipanga kuchukua action kwa vyama vyote angalau kwa jinsi alivyoweza sema.
 
kauli za hawa wazee sizikii tena wapo hai kweli?
 
Heri tendwa,sasa wassira kawahi kijiweni kabla ya cdm?vipi na mangula?anarudisha afya kwanza kabla ya kupelekwa waona cdm?au anamuuguza dentist?

Babu Mangula walimpa rushwa ya kimwana, bado yuko kwenye "honeymoon" cheze na dogodogo weye..
 
Tendwa kaoa? What happened to his wife, the teacher?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Muda si mrefu Viagra zitawaua hawa wazee.....bado wanapenda watunzia vijana wa mjini wanawake.?Atakuwa busy anawabambikizia Kesi
 
ushahidi wa CDM umemmaliza kabisa Tendwa, sijui hakujua au ndio gia nyingine ya kuwatelezesha CCM ktk mti ili CDM waibuke mashujaa.
 
Sijawasikia hawa watu tena?wapo msituni nini?
 
Wasira amefulia, tendwa yuko honeymoon na mke mpya!

Wasira tangu alipo tolewa nishai kwa kushindwa kupangilia mavazi hadi leo hajatoa neno tena naona ameena nyamuswa kujenga mazizi ya ng'ombe wake kwani tamaa ya urais ishamtoka
 
Attachments

  • 1430033829465.jpg
    1430033829465.jpg
    53.8 KB · Views: 1,277
ushahidi wa CDM umemmaliza kabisa Tendwa, sijui hakujua au ndio gia nyingine ya kuwatelezesha CCM ktk mti ili CDM waibuke mashujaa.

Tendwa aliikubali sana cdm basi useme pale alikuwa anatetea ugali wake
 
Back
Top Bottom